Elections 2010 Mbunge wa Arusha apigwa hadi kuzirai na jeshi la polisi

Kila mtu ameshuhudia nini kilichotokea kwa Mheshimiwa Mbunge wa Arusha Mjini. Alinyanyuliwa kitini kwa nguvu na Polisi na kisha kupewa kipigo cha mbwa mwizi, haya yote yamefanyika LIVE kila mtu akiangalia. Hili halijafanyika kwa bahati mbaya, bali lilipangwa rasmi kwa hali ilivyokuwa ikijionyesha. Naomba kuuomba uongozi wa CDM umtake IGP Saidi Mwema atoe maelezo juu ya hali hiyo na pia wamtake amfukuze kazi huyo RPC, maana ni kinyume na sheria na utaratibu mzima wa kumchukulia hatua kiongozi yeyote aliyechaguliwa na wananchi.
 
Kaka, habari hii imeandikwa sana, na bado ipo jukwaani inakuwa commented na wadau...
Nilitegemea umeleta PICHA ZA TUKIO, MAANA UMESEMA 'live'...vinginevyo kama ni michapo kihivi haina uzito kabisa..
Samahani kama nimekukwaza!
 
live tumeona TBC1 jana! Unataka nini zaidi? Tujifunze kuwa wakweli jamani!!!
 
Kila mtu ameshuhudia nini kilichotokea kwa Mheshimiwa Mbunge wa Arusha Mjini. Alinyanyuliwa kitini kwa nguvu na Polisi na kisha kupewa kipigo cha mbwa mwizi, haya yote yamefanyika LIVE kila mtu akiangalia. Hili halijafanyika kwa bahati mbaya, bali lilipangwa rasmi kwa hali ilivyokuwa ikijionyesha. Naomba kuuomba uongozi wa CDM umtake IGP Saidi Mwema atoe maelezo juu ya hali hiyo na pia wamtake amfukuze kazi huyo RPC, maana ni kinyume na sheria na utaratibu mzima wa kumchukulia hatua kiongozi yeyote aliyechaguliwa na wananchi.

Alafu kinachochukiza zaidi kabla hawajamburuza walimtekenya kidogo, hawa watu ni wabaya kiasi chake.
 
Kaka, habari hii imeandikwa sana, na bado ipo jukwaani inakuwa commented na wadau...
Nilitegemea umeleta PICHA ZA TUKIO, MAANA UMESEMA 'live'...vinginevyo kama ni michapo kihivi haina uzito kabisa..
Samahani kama nimekukwaza!

Kaka I thought you were in Arusha . I am I wrong ?
 
Iam in Arusha..Ididnt witness the saga, and i would be happier if one of you guys pasted some snaps on the action instead of just narrating blank stories!

Mkuu, mbona kimya wakati tulianza vizuri ile maneno yetu?...Za hapo OlMatejoo?
 
tatizo la negative minded people. Mbona hamtaji sababu zilizopelekea kichapo cha LEMA???????????
CHADEMA Mnapenda kuvunja sheria kwa makusudi halafu mlalamike kuwa mnaonewa. Jeshi limefanya kazi yake. Naomba nipewe sababu za kichapo
 
hUTAONGEA HIVI BAADA YA KUPINDULIWA......It is a matter of time ..
 
Kwa niliyoyasikia toka Arusha kwa mkereketwa wa CDM Mheshimiwa LEMA ALIOMBA KICHAPO KILE YEYE MWENYEWE!!
  1. Wao CDM walishagoma kwenda kwenye uchaguzi, wenzao wakaendelea! Kama sheria ilikiukwa (na CCM) basi CDM wangesubiri kupinga hilo kwa kufuata sheria!!
  2. Kuingia ukumbini wakati kikao cha uchaguzi (walichokigomea CDM) kimemalizika na kuanzisha vurugu ya kupinga matokeo ilitafsiriwa kama "kuvuruga amani"...na mbaya zaidi...
  3. Sheria ya nchi (Under the Criminal Procedures Act ikisomwa pamoja na Law of Evidence na Katiba yetu) inawaruhusu Polisi (au mtu yeyote aliyepewa dhamana ya kulinda usalama) kutumia "nguvu ya kiasi" wakati wa kumkamata (Arrest) na kumdhibiti (restrain) mhalifu/mtuhumiwa asilete madhara!! Bwana Lema alitoa BASTOLA, ni dhahiri endapo asingedhibitiwa angeweza kumdhuru mtu (Kwa kuwa kisheria huwezi kuelewa state of mind ya mtu wakati anafanya tendo lolote lile)....Kwa hiyo ilikuwa ni halali kwa polisi kumkamata na kumnyong'onyeza maana akkuwa anaendelea kutishia na hakujisalimisha kwa polisi!! Isitoshe polisi hawajatumia bastola au silaha nyingine, wametumia Judo na virungu...which so far was reasonable force!!
SOMO
Tunaipenda CDM lakini mbinu zake sasa zinatuchosha, watapigwa sana kama hawatakaa chini na kujadili mbinu mbadala! Wote tunajua kwa nini RPC Arusha alibadilishwa, yule jamaa na watu wake wako kwa kazi maalumu, wanasubiri kuwa "tuned" tu, sasa kama adui umeshamuelewa anakupaje kazi kupambana naye? Hebu CDM wafuate sheria, wapambane KISAYANSI siyo kwa kutumia nguvu "ZA KIJINGA"....Kamwe hatutaweza kushindana na dola....TUWE MAKINI
 
.....CCM waliingiza wapiga kura ambao si eligible (%$%^4tch Mary Chitanda)......kutokana na kushindwa kufikiwa muafaka,kikao kikawa-postponed.....manyang'au CCM wakafanya uchaguzi kinyemela bila kuwataarifu chama chenye kushika jimbo(chenye m'bunge)......uchaguzi therefore ukafanyika column ikiwa haijatimia kikanuni.......awali ya yote kabisa,FFU na polisi wa kawaida walikuwa wengi sana kuliko kawaida hata kabla ya mkusanyiko wa kwanza haujaanza maana CCM walijua fika kwamba watafanya A ili CDM wawe provoked then wao CCM (kupitia wing yao ya Polisi) wafanye B then CDM wakifanya C wao CCM wafanye D,E,F,G.......Z na kusimika Gbagbo wao.
 
tatizo la negative minded people. Mbona hamtaji sababu zilizopelekea kichapo cha LEMA???????????
CHADEMA Mnapenda kuvunja sheria kwa makusudi halafu mlalamike kuwa mnaonewa. Jeshi limefanya kazi yake. Naomba nipewe sababu za kichapo

Sheria inaamuliwa na mahakama. Polisi wako mbona hawajamfungulia kesi mtuhumiwa Mheshimiwa mbunge? Au kwako sheria nia amri za ccm?
 
Polisi au kiumbe yeyote asiyetajwa na kanuni za halmashauri au bunge hawezi kungia ukumbini bila taratibu fulani maalumu kufuatwana kupiga madiwani wasio na silaha! Hata kama amevunja sheria ni sheria gani inayoruhusu polisi kuadhibu mharifu bila kufuata mkondo wa sheria?Kweli kama hujui na wewe ni msomi unathibitisha usemi wa yule jamaa alosema 'mwanaCCM mwenye PHD ni sawa tu na O'level ya asiye mwana CCM. Sema kifungu gani cha sheria kinachorusu polisi kupiga raia?
tatizo la negative minded people. Mbona hamtaji sababu zilizopelekea kichapo cha LEMA???????????
CHADEMA Mnapenda kuvunja sheria kwa makusudi halafu mlalamike kuwa mnaonewa. Jeshi limefanya kazi yake. Naomba nipewe sababu za kichapo
 
Kwa niliyoyasikia toka Arusha kwa mkereketwa wa CDM Mheshimiwa LEMA ALIOMBA KICHAPO KILE YEYE MWENYEWE!!
  1. Wao CDM walishagoma kwenda kwenye uchaguzi, wenzao wakaendelea! Kama sheria ilikiukwa (na CCM) basi CDM wangesubiri kupinga hilo kwa kufuata sheria!!
  2. Kuingia ukumbini wakati kikao cha uchaguzi (walichokigomea CDM) kimemalizika na kuanzisha vurugu ya kupinga matokeo ilitafsiriwa kama "kuvuruga amani"...na mbaya zaidi...
  3. Sheria ya nchi (Under the Criminal Procedures Act ikisomwa pamoja na Law of Evidence na Katiba yetu) inawaruhusu Polisi (au mtu yeyote aliyepewa dhamana ya kulinda usalama) kutumia "nguvu ya kiasi" wakati wa kumkamata (Arrest) na kumdhibiti (restrain) mhalifu/mtuhumiwa asilete madhara!! Bwana Lema alitoa BASTOLA, ni dhahiri endapo asingedhibitiwa angeweza kumdhuru mtu (Kwa kuwa kisheria huwezi kuelewa state of mind ya mtu wakati anafanya tendo lolote lile)....Kwa hiyo ilikuwa ni halali kwa polisi kumkamata na kumnyong'onyeza maana akkuwa anaendelea kutishia na hakujisalimisha kwa polisi!! Isitoshe polisi hawajatumia bastola au silaha nyingine, wametumia Judo na virungu...which so far was reasonable force!!
SOMO
Tunaipenda CDM lakini mbinu zake sasa zinatuchosha, watapigwa sana kama hawatakaa chini na kujadili mbinu mbadala! Wote tunajua kwa nini RPC Arusha alibadilishwa, yule jamaa na watu wake wako kwa kazi maalumu, wanasubiri kuwa "tuned" tu, sasa kama adui umeshamuelewa anakupaje kazi kupambana naye? Hebu CDM wafuate sheria, wapambane KISAYANSI siyo kwa kutumia nguvu "ZA KIJINGA"....Kamwe hatutaweza kushindana na dola....TUWE MAKINI
Mara nyingi upumbavu kama huu huwa anapost Ngongo
 
tatizo la negative minded people. Mbona hamtaji sababu zilizopelekea kichapo cha LEMA???????????
CHADEMA Mnapenda kuvunja sheria kwa makusudi halafu mlalamike kuwa mnaonewa. Jeshi limefanya kazi yake. Naomba nipewe sababu za kichapo

Kama unazungumza hivyo, utakuwa umeshahukumu tayari. Wakati umeshatoa hukumu usiendelee kuhitaji upewe ukweli kuhusu mkasa. Kwa kuhitaji kujua ukweli baada ya hukumu ni uwendawazimu
 
Kaka, habari hii imeandikwa sana, na bado ipo jukwaani inakuwa commented na wadau...
Nilitegemea umeleta PICHA ZA TUKIO, MAANA UMESEMA 'live'...vinginevyo kama ni michapo kihivi haina uzito kabisa..
Samahani kama nimekukwaza!

Paka shume Andengenye,kamanda wa Polisi A Town kakutuma uje kumtetea Jf. Anatakiwa akajitetee ICC Kwa Ocampo.
 
Rutashubanyuma mbona sielewi kichwa cha habari kutofautiana na mada iliyo ndani maana nimetafuata issu ya mbunge kupigwa siioni ?
ziliunganishwa maana ilikuwa kila mmoja akija anaanzisha yake anzia page ya tatu utapata unacho kitafuta
 
Kama alikuwa anabisha wafanyeje zaidi ya kipigo?tii amri uone mambo yanavyokwenda safiii
 
Una uhakika kwamba alikuwa anabisha? au wewe tafsiri yako kwa kila anayepigwa na polisi ni mbishi?
 
Back
Top Bottom