Mbunge wa Arusha Godbless Lema atembelewa na Wema Sepetu Nyumbani kwake

Shauku yangu sasa ni kujua je wale followers wake wanaozidi milioni mbili Kule Instagram wameanza kumfuata na wangapi wametangaza rasmi kuhamia CDM kumfuata Wema...!?
Instagram
Facebook
Jamii Forum
WhatsApp Groups
N.k
Wale mashabiki wake 5000, wale Wanafamilia 70, aliosema Mama Wema wapo waliohamia mpaka sasa...!!???
Nakumbuka tulikuwa na mjadala motomoto kuhusu Wema kuhamia CDM na faida, wengine wakiuliza ni Asset au Liability
Naomba mrejesho tafadhali
 
Wema sio kichwa kihivyo ila anatosha kuwapa kadhia ccm
 
Imewauma sana tuu
Ndio sbu kila uozo wa ccm chadema ni almasi hata hamna aibu...na wewe na akili yko timamu unaona ni dili huku chama kikikosa kile kinachopigania...hata akija Chenge utakuwa wa kwanza kumuita kamanda..shame on you!
 
Ukip
Ukipata jibu nishtue
 
Hadi sasa watu wanateseka sana na kuweweseka kisa kuona picha za mh Lissu Makamu wa mwenyekiti wa cdm.

Je tayari amesha tua hapa nchini? Tafadhali tupeane habariView attachment 1327501View attachment 1327502

Sent using Jamii Forums mobile app
Almanusura ningedhani ni nyumbani kwa kamanda kufuatia rangi za nyumba karibu zifanane tofauti ni paa, kwa Lema ni bati ya decra kutoka Australia kupitia South Africa na kutua nchini kupitia Nabaki Africa, wakati hapo Makamanda walipo kiezekeo ni kigae.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…