MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Kama ni Rais wa vichaa sawaAcha upuuzi wewe, Lema kachaguliwa na wananchi, Gambo kateuliwa. Lema ndo rais wa Arusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni Rais wa vichaa sawaAcha upuuzi wewe, Lema kachaguliwa na wananchi, Gambo kateuliwa. Lema ndo rais wa Arusha
Hilo lipo wazi mkuu,Kwa taarifa yenu kuna mpango mkakati wa kuhakikisha kuwa jiji la Arusha linadhohofishwa na "rire lijiji retu kure kwetu" kupandishwa chati...
Kuna kamati maalum imeundwa kufanikisha zoezi hilo...
Wataanza na vurugu ili wazoroteshe sekta ya utalii Arusha.
Kilele kitakuwa ufunguzi wa viwanja vikubwa vya ndege Mwanza (Serengeti Intl. Airport) na Chato (Rubondo Intl. Airport)..
Wao wanasema ware jamaa wamekura sana sasa ni zamu yetu..!!
Mimi humu ni mjumbe tu kuwafikishieni hizi dondoo...
Kamuulize Mulongo atakwambia.Mtamtafuta kick mpaka gizani
Lakini Gambo kiboko ya Wapuuzi.
Lema ana kazi kwa Gambo
Lazima aelewe Gambo ni bosi wake
Apende asipende
Na Arusha gambo haondoki ng'o
Huku ni Arusha na Arusha ndiyo hapa.Kwa jinsi anavyomuombea mabaya Rais wetu hakika Lema anatakiwa kunyea debe ili ajifunze adabu kwa wakubwa
Rais wa vichaa hapo sawaKamuulize Mulongo atakwambia.
Lema ni Rais wa Arusha
Sio kweli kuwa Lema ndio mambo yote Arusha. Wengine tunasikitika sana anavyotuabisha. Tunawashangaa waliomchagua mtu amabaye hana upeo hana subuira hana uvumilivu sasa huyo ndio kiongozi gani?Lema ndiye mambo yote Arusha....
Ni bora gambo atafute kazi nyingine ya kufanya.......
Karibu kwa vichaa, hatudraiviwiRais wa vichaa hapo sawa
SikaribiiKaribu kwa vichaa, hatudraiviwi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sikaribii
Kweli Gambo kiboko ya wapuuzi kama weweMtamtafuta kick mpaka gizani
Lakini Gambo kiboko ya Wapuuzi.
Lema ana kazi kwa Gambo
Lazima aelewe Gambo ni bosi wake
Apende asipende
Na Arusha gambo haondoki ng'o
Taarifa yako ni nzuri sana, ila tusubiri tuone yatakayokuwa.Kwa taarifa yenu kuna mpango mkakati wa kuhakikisha kuwa jiji la Arusha linadhohofishwa na "rire lijiji retu kure kwetu" kupandishwa chati...
Kuna kamati maalum imeundwa kufanikisha zoezi hilo...
Wataanza na vurugu ili wazoroteshe sekta ya utalii Arusha.
Kilele kitakuwa ufunguzi wa viwanja vikubwa vya ndege Mwanza (Serengeti Intl. Airport) na Chato (Rubondo Intl. Airport)..
Wao wanasema ware jamaa wamekura sana sasa ni zamu yetu..!!
Mimi humu ni mjumbe tu kuwafikishieni hizi dondoo...
Hakuna sheria yoyote inayotaka kumuombea mtu mambo ambayo si mazuri.Kwa jinsi anavyomuombea mabaya Rais wetu hakika Lema anatakiwa kunyea debe ili ajifunze adabu kwa wakubwa
Wajinga ndo waliwao nenda kawahadithie wajinga wenzako hizi porojoJeshi la polisi mkoani Arusha linajipanga kumkamata mbunge wa Arusha Mjini na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha leo usiku au alfajiri sana kesho
Taarifa za uhakika zinasema kuwa polisi wanashinikizwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Mrisho Gambo kumkamata mbunge huyo kutokana na mgogoro mkubwa uliopo kati ya wawili hao.Shinikizo la RC Gambo limewachukiza baadhi ya maofisa wa polisi hasa kitengo cha upepelezi kwa kuwa wao polisi hawana sababu ya kumkamata,hata hivyo Bwana Mrisho Gambo amesisitiza kuwa lazima wakamatwe kutokana na kile yeye RC anachodai kuwa Mbunge amemkosea yeye binafsi na mh Rais.
Katika mikutano ya hadhara aliyofanya mbunge pamoja na madiwani akiwepo Mstahiki meya walitangaza kutompa ushirikiano wowote RC na DC kwa kile walichoita matumizi mabaya ya madaraka yanayofanywa na RC na DC.Tamko hilo limeungwa mkono na wananchi mbalimbali katika jiji la Arusha na viunga vyake.Kufuatia uungwaji mkono huo RC amekosa amani na imani ya kutembea bila ulinzi mkali wa polisi.
Itakumbukwa kuwa mke wa Mh. Mbunge wa Arusha mjini Bi. Neema Lema alishikiliwa na jeshi la polisi kwa masaa manne juzi Jumatano wiki hii Octoba 26 . Neema Lema alishikiliwa kwa amri ya mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Mrisho Gambo! Inadaiwa kuwa Neema amekuwa nguzo kuu ya ujasiri wa mumewe na katika kila hatua amekuwa na mchango mkubwa sana kwa mumewe ambaye ni mbunge aliyechaguliwa kwa zaidi ya kura 65,000. Taarifa zinazidi kusema kuwa mkuu wa mkoa amechukizwa na kitendo cha line ya simu ya Mbunge kuwa na jina la Neema ambaye ni mkewe.
Baada ya kuhojiwa kuhusu line inayohisiwa kutuma sms yenye neno *Shoga* Bi Neema Lema alikana kuhusika na kumiliki line iliyotuma sms hiyo,hata hivyo alisema neno Shoga sio tusi bali ni rafiki,na akatoa mfano kuwa kwa utamaduni wa wanawake huitana Shoga!
Baada ya kushikiliwa kwa muda wa masaa manne Bi. Neema ametolewa bila masharti, wala bila kuwa na kesi yoyote ya kujibu.
My take
RC acha kutumia madaraka vibaya,je ni hasira ya kuzomewa kule burka ulikotaka kupotosha umma?Je ni hasira ya hotuba kali za Mbunge?Hizi hotuba zinaeleza ukweli?je utaweza kushindana na Ukweli?
Kamwe mtu aliyeteuliwa na mtu mmoja hawezi kushinda mbunge mwenye kura 65,000 ni swala la muda tu