Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NDO maoni yako au kakutuma. Vyovyote vile u RC katika awamu hii umeingia maji kutokana na jinsi wanavyoteuliwa.Mtamtafuta kick mpaka gizani
Lakini Gambo kiboko ya Wapuuzi.
Lema ana kazi kwa Gambo
Lazima aelewe Gambo ni bosi wake
Apende asipende
Na Arusha gambo haondoki ng'o
Aise; nasikia Mwanza alikua anaishi hotelini; kama haya yote 2 ni kweli basi watu hua wanajisahau sana; yaani hata mwaka 1 hajamaliza toka atoke madarakani kachoka? Kweli siasa is a game of chance and luck.Magesa ndo yule alikuwa Arusha alikuwa anapambana sana na Lema ?kuna siku nimekutana kwenye basi naelekea Dar amechoka sana mpaka huruma
Ndiyo nakumbuka alikataa kuishi kwenye nyumba ambayo alipewa na serikali akasema haina hadhi akawa anaishi hotelini JMP baada ya kuingia madaraka akapewa taarifa zake akamtema alikuwa na dharau na majivuno sana .Nasikia yupo huko kwao analima kwa sasa.Aise; nasikia Mwanza alikua anaishi hotelini; kama haya yote 2 ni kweli basi watu hua wanajisahau sana; yaani hata mwaka 1 hajamaliza toka atoke madarakani kachoka? Kweli siasa is a game of chance and luck.
Lema amechaguliwa na zaidi ya wananchi 65,000Vibaraka wa lema mko wachache sana. Endeleeni na ujinga wenu. Elewa lema amechaguliwa kwa kura chache kuliko raisi na gambo ni mwakilishi wa raisi. Ukiweza kutofautisha vitu hivyo viwili basi.
yes.. kwa kasi hii lema atanyea debe lupango soon. Halafu lissu apige dili kumtoa kwa hela yao ya ruzuku.Kwa jinsi anavyomuombea mabaya Rais wetu hakika Lema anatakiwa kunyea debe ili ajifunze adabu kwa wakubwa
Acha bangi kwani huyo aliyepigiwa kura nchi nzima hakuwa kwenye ushindani na kwani watu wote walimpa kura??Kwenye my take hapo.
Aliyechaguliwa na mtu mmoja ambaye kapigiwa kura na tz nzima au mmoja aliyechaguliwa na jimbo moja tena kwa ushindan??? Bila kupata kula zote??????? Mleta mada hunaga akil na wewe mpiga dil
Bangi ni kipaumbele chako????Acha bangi kwani huyo aliyepigiwa kura nchi nzima hakuwa kwenye ushindani na kwani watu wote walimpa kura??
Rumour mongering!
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe..Jeshi la polisi mkoani Arusha linajipanga kumkamata mbunge wa Arusha Mjini na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha leo usiku au alfajiri sana kesho
Taarifa za uhakika zinasema kuwa polisi wanashinikizwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Mrisho Gambo kumkamata mbunge huyo kutokana na mgogoro mkubwa uliopo kati ya wawili hao.Shinikizo la RC Gambo limewachukiza baadhi ya maofisa wa polisi hasa kitengo cha upepelezi kwa kuwa wao polisi hawana sababu ya kumkamata,hata hivyo Bwana Mrisho Gambo amesisitiza kuwa lazima wakamatwe kutokana na kile yeye RC anachodai kuwa Mbunge amemkosea yeye binafsi na mh Rais.
Katika mikutano ya hadhara aliyofanya mbunge pamoja na madiwani akiwepo Mstahiki meya walitangaza kutompa ushirikiano wowote RC na DC kwa kile walichoita matumizi mabaya ya madaraka yanayofanywa na RC na DC.Tamko hilo limeungwa mkono na wananchi mbalimbali katika jiji la Arusha na viunga vyake.Kufuatia uungwaji mkono huo RC amekosa amani na imani ya kutembea bila ulinzi mkali wa polisi.
Itakumbukwa kuwa mke wa Mh. Mbunge wa Arusha mjini Bi. Neema Lema alishikiliwa na jeshi la polisi kwa masaa manne juzi Jumatano wiki hii Octoba 26 . Neema Lema alishikiliwa kwa amri ya mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Mrisho Gambo! Inadaiwa kuwa Neema amekuwa nguzo kuu ya ujasiri wa mumewe na katika kila hatua amekuwa na mchango mkubwa sana kwa mumewe ambaye ni mbunge aliyechaguliwa kwa zaidi ya kura 65,000. Taarifa zinazidi kusema kuwa mkuu wa mkoa amechukizwa na kitendo cha line ya simu ya Mbunge kuwa na jina la Neema ambaye ni mkewe.
Baada ya kuhojiwa kuhusu line inayohisiwa kutuma sms yenye neno *Shoga* Bi Neema Lema alikana kuhusika na kumiliki line iliyotuma sms hiyo,hata hivyo alisema neno Shoga sio tusi bali ni rafiki,na akatoa mfano kuwa kwa utamaduni wa wanawake huitana Shoga!
Baada ya kushikiliwa kwa muda wa masaa manne Bi. Neema ametolewa bila masharti, wala bila kuwa na kesi yoyote ya kujibu.
My take
RC acha kutumia madaraka vibaya,je ni hasira ya kuzomewa kula burka ulikotaka kupotosha umma?Je ni hasira ya hotuba kali za Mbunge?Hizi hotuba zinaeleza ukweli?je utaweza kushindana na Ukweli?
Kamwe mtu aliyeteuliwa na mtu mmoja hawezi kushinda mbunge mwenye kura 65,000 ni swala la muda tu.
Eti wq Tanzania mna akili.Nahisi wewe ndo Lema mwenyewe na kama siyo basi wewe unaweza kua unawatetea watu bila kuwajua,mtu hawezi nyanyuka tu bila sababu eti akaenda kuliamulu jeshi limkamate Lema,lazima kuna shida mahala,umeeleza ukiegemea upande mmoja na kumlaumu mkuu wa mkoa lakini yamkini kuna jambo,siku hzi waTanzania tunaakili tunaweza kuyapima maneno mnayotoa
Kwa taarifa yenu kuna mpango mkakati wa kuhakikisha kuwa jiji la Arusha linadhohofishwa na "rire lijiji retu kure kwetu" kupandishwa chati...
Kuna kamati maalum imeundwa kufanikisha zoezi hilo...
Wataanza na vurugu ili wazoroteshe sekta ya utalii Arusha.
Kilele kitakuwa ufunguzi wa viwanja vikubwa vya ndege Mwanza (Serengeti Intl. Airport) na Chato (Rubondo Intl. Airport)..
Wao wanasema ware jamaa wamekura sana sasa ni zamu yetu..!!
Mimi humu ni mjumbe tu kuwafikishieni hizi dondoo...
Acha upuuzi wewe, Lema kachaguliwa na wananchi, Gambo kateuliwa. Lema ndo rais wa ArushaMtamtafuta kick mpaka gizani
Lakini Gambo kiboko ya Wapuuzi.
Lema ana kazi kwa Gambo
Lazima aelewe Gambo ni bosi wake
Apende asipende
Na Arusha gambo haondoki ng'o
Ukweli kabisa ukiangalia walioteuliwa wengi hawana vigezo kabisaMkuu hayo ni matokeo ya elimu pasipo elimu. Sifa ya uteuzi ikiwa ni kujivika ujinga ili mradi chama dola mbele kwa mbele ndiyo matokeo yake. Bado miaka minne tutaisona namba
Kwenye my take hapo.
Aliyechaguliwa na mtu mmoja ambaye kapigiwa kura na tz nzima au mmoja aliyechaguliwa na jimbo moja tena kwa ushindan??? Bila kupata kula zote??????? Mleta mada hunaga akil na wewe mpiga dil
Kwa Mbunge kama Lema Arusha wamepata hasara sana...inashangaza nchi hii kumchukua mvuta bange kisha ukamfanya mbunge
NRud tena kula elfu 65 zinazid iman ya watanzania milion kadhaaa?????
Siasa za upinzan hiv sasa ni kama walevi walevi wasiojitambua.
Wanatia huruma sana
Pamoja na chuki zenu binafsi kwa Lema lazima mtambue Lema ni mbunge ambaye amechaguliwa na wananchi huyu Rc ameteuliwa na RC anatakiwa kufanya kazi kwa kufuata mipaka yake ya kazi.Mmekuwa vichekesho...
Sasa kumbe ule UKUTA uko wap?
Uoga tuuuh...
Kumbe ule ukuta ulikua ni u Mr Bean tuh?
Teh teh teh