PRODA LTD
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,005
- 1,333
Sasa mbona ulisema kuchomekwa na sio kuchokwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona ulisema kuchomekwa na sio kuchokwa?
Nahisi wewe ndo Lema mwenyewe na kama siyo basi wewe unaweza kua unawatetea watu bila kuwajua,mtu hawezi nyanyuka tu bila sababu eti akaenda kuliamulu jeshi limkamate Lema,lazima kuna shida mahala,umeeleza ukiegemea upande mmoja na kumlaumu mkuu wa mkoa lakini yamkini kuna jambo,siku hzi waTanzania tunaakili tunaweza kuyapima maneno mnayotoaJeshi la polisi mkoani Arusha linajipanga kumkamata mbunge wa Arusha Mjini na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha leo usiku au alfajiri sana kesho
Taarifa za uhakika zinasema kuwa polisi wanashinikizwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Mrisho Gambo kumkamata mbunge huyo kutokana na mgogoro mkubwa uliopo kati ya wawili hao.Shinikizo la RC Gambo limewachukiza baadhi ya maofisa wa polisi hasa kitengo cha upepelezi kwa kuwa wao polisi hawana sababu ya kumkamata,hata hivyo Bwana Mrisho Gambo amesisitiza kuwa lazima wakamatwe kutokana na kile yeye RC anachodai kuwa Mbunge amemkosea yeye binafsi na mh Rais.
Katika mikutano ya hadhara aliyofanya mbunge pamoja na madiwani akiwepo Mstahiki meya walitangaza kutompa ushirikiano wowote RC na DC kwa kile walichoita matumizi mabaya ya madaraka yanayofanywa na RC na DC.Tamko hilo limeungwa mkono na wananchi mbalimbali katika jiji la Arusha na viunga vyake.Kufuatia uungwaji mkono huo RC amekosa amani na imani ya kutembea bila ulinzi mkali wa polisi.
Itakumbukwa kuwa mke wa Mh. Mbunge wa Arusha mjini Bi. Neema Lema alishikiliwa na jeshi la polisi kwa masaa manne juzi Jumatano wiki hii Octoba 26 . Neema Lema alishikiliwa kwa amri ya mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Mrisho Gambo! Inadaiwa kuwa Neema amekuwa nguzo kuu ya ujasiri wa mumewe na katika kila hatua amekuwa na mchango mkubwa sana kwa mumewe ambaye ni mbunge aliyechaguliwa kwa zaidi ya kura 65,000. Taarifa zinazidi kusema kuwa mkuu wa mkoa amechukizwa na kitendo cha line ya simu ya Mbunge kuwa na jina la Neema ambaye ni mkewe.
Baada ya kuhojiwa kuhusu line inayohisiwa kutuma sms yenye neno *Shoga* Bi Neema Lema alikana kuhusika na kumiliki line iliyotuma sms hiyo,hata hivyo alisema neno Shoga sio tusi bali ni rafiki,na akatoa mfano kuwa kwa utamaduni wa wanawake huitana Shoga!
Baada ya kushikiliwa kwa muda wa masaa manne Bi. Neema ametolewa bila masharti, wala bila kuwa na kesi yoyote ya kujibu.
My take
RC acha kutumia madaraka vibaya,je ni hasira ya kuzomewa kula burka ulikotaka kupotosha umma?Je ni hasira ya hotuba kali za Mbunge?Hizi hotuba zinaeleza ukweli?je utaweza kushindana na Ukweli?
Kamwe mtu aliyeteuliwa na mtu mmoja hawezi kushinda mbunge mwenye kura 65,000 ni swala la muda tu.
Afadhali hivyo viwanja vianzishwe manake mbuga ya Serengeti ipo huko lakini watalii wanatua KIA wanaenda kuona wanyama na kurudi hawalali huko. Kiwanja cha serengeti kikiwa kizuri basi midege itakuwa inatua huko na watalii watalala huko na ni karibu kwenda kuona fisi na nyumbu wa serngeti kwa gharama nafuu. Uchumi wa wana Serengeti utaimarika na watafaidi matunda ya maliasili aliyowamegea muumba. Nyie mtaendelea kufaidi matunda ya Mlima Kilimanjaro.Kwa taarifa yenu kuna mpango mkakati wa kuhakikisha kuwa jiji la Arusha linadhohofishwa na "rire lijiji retu kure kwetu" kupandishwa chati...
Kuna kamati maalum imeundwa kufanikisha zoezi hilo...
Wataanza na vurugu ili wazoroteshe sekta ya utalii Arusha.
Kilele kitakuwa ufunguzi wa viwanja vikubwa vya ndege Mwanza (Serengeti Intl. Airport) na Chato (Rubondo Intl. Airport)..
Wao wanasema ware jamaa wamekura sana sasa ni zamu yetu..!!
Mimi humu ni mjumbe tu kuwafikishieni hizi dondoo...
Siasa za kipuuzi zitaimaliza Arusha. Lema anapaswa kujitafakari upya kama anastahili kuendelea kuwa mbungeArusha ilitulia wakati fulani hadi mikutano mikubwa ya kimataifa ikarudi ......sasa hivi mmeanza tena siasa zenu za kipuuzi.....
Siasa za nani zaidi hazitatufikisha popote.!
ametumika kama toilet paper
Mzawa!!!!AR ina wenyewe ndugu yangu hakuna cha gamba au mbaga,Kuna wazawa.
Ukimgusa mzawa yeyote wa AR alafu ukiwa ni idokooo hapo imekula kwako hata kama unafanya kazi ikulu ya Obama lazima itakula kwako.
jpm kama anasikia piga huyu mtu chini umweke mzawa,hapo utakuwa umepatia.
Nyie ndio hamnazo kabisa. Hata kama lema angechaguliwa na kura asilimia mia ya watu wa arusha bado yuko chini ya mamlaka ya serikali kuu inayowakilishwa na rc na dc. Chadema lazima watambue serikali kuu inaongozwa na ccm. Maneno ya kumkejeli rais au kumtakia balaa kama alivyofanya lema juzi yanaonyesha jinsi lema asivyokua na busara na alivyokua mtu wa shari.Jeshi la polisi mkoani Arusha linajipanga kumkamata mbunge wa Arusha Mjini na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha leo usiku au alfajiri sana kesho
Taarifa za uhakika zinasema kuwa polisi wanashinikizwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Mrisho Gambo kumkamata mbunge huyo kutokana na mgogoro mkubwa uliopo kati ya wawili hao.Shinikizo la RC Gambo limewachukiza baadhi ya maofisa wa polisi hasa kitengo cha upepelezi kwa kuwa wao polisi hawana sababu ya kumkamata,hata hivyo Bwana Mrisho Gambo amesisitiza kuwa lazima wakamatwe kutokana na kile yeye RC anachodai kuwa Mbunge amemkosea yeye binafsi na mh Rais.
Katika mikutano ya hadhara aliyofanya mbunge pamoja na madiwani akiwepo Mstahiki meya walitangaza kutompa ushirikiano wowote RC na DC kwa kile walichoita matumizi mabaya ya madaraka yanayofanywa na RC na DC.Tamko hilo limeungwa mkono na wananchi mbalimbali katika jiji la Arusha na viunga vyake.Kufuatia uungwaji mkono huo RC amekosa amani na imani ya kutembea bila ulinzi mkali wa polisi.
Itakumbukwa kuwa mke wa Mh. Mbunge wa Arusha mjini Bi. Neema Lema alishikiliwa na jeshi la polisi kwa masaa manne juzi Jumatano wiki hii Octoba 26 . Neema Lema alishikiliwa kwa amri ya mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Mrisho Gambo! Inadaiwa kuwa Neema amekuwa nguzo kuu ya ujasiri wa mumewe na katika kila hatua amekuwa na mchango mkubwa sana kwa mumewe ambaye ni mbunge aliyechaguliwa kwa zaidi ya kura 65,000. Taarifa zinazidi kusema kuwa mkuu wa mkoa amechukizwa na kitendo cha line ya simu ya Mbunge kuwa na jina la Neema ambaye ni mkewe.
Baada ya kuhojiwa kuhusu line inayohisiwa kutuma sms yenye neno *Shoga* Bi Neema Lema alikana kuhusika na kumiliki line iliyotuma sms hiyo,hata hivyo alisema neno Shoga sio tusi bali ni rafiki,na akatoa mfano kuwa kwa utamaduni wa wanawake huitana Shoga!
Baada ya kushikiliwa kwa muda wa masaa manne Bi. Neema ametolewa bila masharti, wala bila kuwa na kesi yoyote ya kujibu.
My take
RC acha kutumia madaraka vibaya,je ni hasira ya kuzomewa kula burka ulikotaka kupotosha umma?Je ni hasira ya hotuba kali za Mbunge?Hizi hotuba zinaeleza ukweli?je utaweza kushindana na Ukweli?
Kamwe mtu aliyeteuliwa na mtu mmoja hawezi kushinda mbunge mwenye kura 65,000 ni swala la muda tu.
Tatizo lipo kwa Mkuu wa Mkoa Mrisho Gambo kufanya mambo kwa kuingia mipaka ya wenzake bila sababu za msingiSiasa za kipuuzi zitaimaliza Arusha. Lema anapaswa kujitafakari upya kama anastahili kuendelea kuwa mbunge
Kwa jinsi anavyomuombea mabaya Rais wetu hakika Lema anatakiwa kunyea debe ili ajifunze adabu kwa wakubwa
Wazungu huwa wakifika arusha wanahisi kama wako kwao(climate condition),sasa szan kama chato wataweza kukaaKwa taarifa yenu kuna mpango mkakati wa kuhakikisha kuwa jiji la Arusha linadhohofishwa na "rire lijiji retu kure kwetu" kupandishwa chati...
Kuna kamati maalum imeundwa kufanikisha zoezi hilo...
Wataanza na vurugu ili wazoroteshe sekta ya utalii Arusha.
Kilele kitakuwa ufunguzi wa viwanja vikubwa vya ndege Mwanza (Serengeti Intl. Airport) na Chato (Rubondo Intl. Airport)..
Wao wanasema ware jamaa wamekura sana sasa ni zamu yetu..!!
Mimi humu ni mjumbe tu kuwafikishieni hizi dondoo...
kwani Arusha ni kwao na LEMA?Wazungu huwa wakifika arusha wanahisi kama wako kwao(climate condition),sasa szan kama chato wataweza kukaa