Tetesi: Mbunge wa Arusha Mjini pamoja na Meya wasakwa na Jeshi la Polisi

Tetesi: Mbunge wa Arusha Mjini pamoja na Meya wasakwa na Jeshi la Polisi

Hayaaa ,....huu mchezo hautaki hasira .....kuna mtu anapumulia mashine hapo ....ngojeni kdg tu......
 
Lema hailewi vyema majukumu pamoja na mipaka ya wajibu wake kama mbunge
 
Thread NYAMBAFU"Kabisa!!
Taarifa
Leo Jumapili 30/10/2016 Polisi wamevamia nyumbani kwa Mbunge wa Arusha Mjini kwa Lengo la kumkamata.Hata hivyo hawakufanikiwa kumkamata kwa kuwa Mbunge hakuwepo nyumbani muda huo
 
Huyo Lema wenu bado "anatafutwa" na polisi hadi leo hii?
Taarifa
Leo Jumapili 30/10/2016 Polisi wamevamia nyumbani kwa Mbunge wa Arusha Mjini kwa Lengo la kumkamata.Hata hivyo hawakufanikiwa kumkamata kwa kuwa Mbunge hakuwepo nyumbani muda huo
 
Lema hailewi vyema majukumu pamoja na mipaka ya wajibu wake kama mbunge
Tatizo lipo kwa Mkuu wa Mkoa Mrisho Gambo kufanya mambo kwa kuingilia ya wenzake bila sababu za msingi
 
Mtamtafuta kick mpaka gizani
Lakini Gambo kiboko ya Wapuuzi.

Lema ana kazi kwa Gambo
Lazima aelewe Gambo ni bosi wake
Apende asipende
Na Arusha gambo haondoki ng'o
Hivi bosi wa mbunge ni Rais, RC, DC au Wananchi waliomchagua?!
 
Alisema Magufuli awache tabia mbaya ya kujifanya Mungu,vinginevyo,atauawa. Wewe Miss Tanga hukuzipata hizi habari. Labda ulikuwa umekwenda beauty salon.
 
Back
Top Bottom