Mbunge wa Bunda ameidhalilisha CCM na anapaswa kukatwa jina lake uchaguzi ujao

Acha kujipendekeza.Umezidi.
 
Bora msimuue tu kama yule wa Ngorongoro mnayetaka kumuua
 
kuwakatisha Tamaa viongozi wetu wa chama wanaokipigania chama usiku na mchana ,kwa jasho na machozi katika kuhakikisha kuwa chama kinapata ushindi katika kila uchaguzi
Kwamba wabunge wanachaguliwa kuwa wawakilishi na watetezi wa chama badala ya kuwa watetezi na wasismamizi wa maslahi ya wananchi wa Jimbo lake bila kujali itikadi zao, rangi, jinsia au hali zao?

Kwamba wabunge walipitisha azimio la kukubaliana na IGA ya dipii world Kwa maslahi ya chama na sio maslahi ya watanzania wote bila kujali itikadi, hali au rangi au mahali wanapotoka?

Kwamba kinachoendelea Kwa maana ya wabunge mawaziri wanaozunguka nchi nzima kupigia chapuo DP world ni Kwa maslahi mapana ya chama na sio maslahi ya Watanzania?

Haya tukisema kwamba DP world waliwapa viongozi wa chama na serikali Rushwa ili wapewe dhamana ya bandari zetu za bahari na Maziwa Kwa muda usiojulikana tutakua tunakosea?

Tukesema kwamba nguvu inayotumika Kwa chama na serikali Kwa sasa kuwa ni maslahi binafsi yao na chama chao tutakua tunakosea?

Akili huna
 
Kuna sababu ya kupiga kura ikiwa atakayepiga kura ya kotofautiana afaa akae nyumbani kwake?

Majukumu ya kibunge ni kutanguliza maslahi ya chama kabla ya maslahi ya wananchi waliokuchagua? Mbona wewe ni mjinga sana? Ina maana dhana ya Bunge kusimamia serikali ni ipi ikiwa Kila linaloletwa na serikali bungeni Mbunge hapaswi kuhoji?
 
Sikiliza ndugu yangu na mtani wangu Dolphin T ,. Hakuna aliyechukua wala kura rushwa katika suala la uwekezaji wa aina yoyote ile katika Taifa letu. Serikali ya Rais mama samia imejipambanua katika kutekeleza miradi mingi kwa uwazi mkubwa sana.Ndio maana unaona ni katika awamu hii ambapo watanzania wamepata kujuwa kila aina ya miradi inayofayika na kiasi chake ,pamoja na mikataba mbalimbali.

Hakuna kampuni inayopata nafasi ya kuwekeza nchini au kutoa huduma kwa njia ya rushwa au kuwahonga viongozi wetu. Lakini pia uwekezaji wowote ule unaofanywa hapa nchini ni kwa maslahi mapana ya Taifa letu na siyo mtu binafsi au chama au kikundi cha watu wachache
 
Mwenyezi mungu mjinga kama huyu aliepost huu Uzi mchukue haraka kwani ni hasara kwa taifa. Taifa halimhitaji kabisa mchukue na achomwe moto wa jehanamu.
 
Kwani nani alimzuia kutoa maoni yake akiwa bungeni? Kama haelewi alichopigia kura ni vipi ataaminika kwa haya azungumzayo leo? Siyo kwamba kashawishiwa na baadhi ya watu kuzungumza aliyo yazungumza? Kama haelewi lugha ambayo imekuwa ikitumika katika nyaraka na miswaada mbalimbali inayowasilishwa bungeni ni vipi aendelee kuaminiwa kuwa mbunge? Ni vipi uchaguzi ujao apewe nafasi ya kupeperusha bendera ya chama?
 
Mwenyezi mungu mjinga kama huyu aliepost huu Uzi mchukue haraka kwani ni hasara kwa taifa. Taifa halimhitaji kabisa mchukue na achomwe moto wa jehanamu.
Mwenyezi Mungu siyo mwanadamu na hawazi kama mwanadamu.Hata hivyo mimi nakusamehe bure na kuomba mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu yenye heri na baraka
 
Kwanza nakuomba Kwa heshima na taaluma, Mimi sio ndugu yako, Mimi ni mwanajukwaa mwenzako, kinachotukutanisha au kuniunganisha na wewe ni mijadala tu.

Hii falsafa ya kuitana ndugu inatujengea aibu ya kuambizana ukweli pale tunapokosea hasa Kwa watu tuuliowapa dhamana ya kusimamia rasilimali zetu kama viongozi.

Pili Mimi sio mtani wako, Kwa ufahamu wangu wa historia za makabila Mimi sina utani na watu wenye majina ya kufanana na wewe. Kwa hiyo ibakie tu kuwa sisi ni wanajukwaa. Na mambo tunayojadili Hapa hayana utani Bali ni serious kabisa.


Rushwa ni mambo ya Siri sana na kudhihirika kwake hutokana na matendo yanayofuatana na hapo Kwa mfano kupora haki uhuru na kufanya upendeleo usio wa wakawaida.
 
Akili zako zipo MKUNDUNI kwako
 
Sio kwa kumkataa huko,ni aibu kuwa na undugu na CHOKO kama huyo MWASHAMBA,hongera kwa kulikana CHOKO
 
Siyo huyo tu! Wengi wanasema kuwa hakukuwa na mjadala wa bunge kuhusiana na mkataba wa bandari. Ulipelekwa ili kutimiza tu takwa la DP, ionekane ulipitishwa na bunge, na hivyo kutokuukana hapo baadaye.

Na huyo aloyeileta hii porojo, ni mtu ambaye huwa anapenda kujitoa ufahamu. Hao watu ambao hawakuchaguliwa na wapiga kura, wanamwakilisha nani? Wala hawawajibiki kwa yeyote zaidi ya yule aliwateua ili wawe wanatumika kama mihuri tu, na siyo kama watu wenye uwezo wa kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…