Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Imani hawana.Wana nchi wana imani kubwa sana CCm na wataendelea kuipigia kura katika kila uchaguzi
Chama changu ni gwiji kuiba kura za wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imani hawana.Wana nchi wana imani kubwa sana CCm na wataendelea kuipigia kura katika kila uchaguzi
Uteuzi hauji hivyo dogoNdugu Zangu Watanzania: Umuhimu wa Uongozi Mzuri na Viongozi wa Kuaminika
Katika kipindi hiki cha mjadala wa kisiasa na kuleta maendeleo nchini Tanzania, ni muhimu sana kwa viongozi wetu, hasa wabunge, kuelewa jukumu kubwa wanalolobeba katika jamii. Wabunge ni wawakilishi wa wananchi, sauti ya watu, na wana jukumu la kuwawakilisha ipasavyo kwa masuala muhimu ya kitaifa.
Sauti ya mbunge ni kubwa, na wana uwezo wa kuhamasisha na kufikisha ujumbe kwa serikali na jamii kwa ujumla. Wanawakilisha wananchi wote, waliowapigia kura na hata wale ambao hawakupiga kura. Hivyo, wanapaswa kuwa makini na maneno yao na vitendo vyao, kwani yanaweza kuwa na athari kubwa kwa jamii.
Wakati wa kutoa matamshi au kauli hadharani, ni muhimu kwa wabunge kuzingatia uhalisia wa mambo wanayoyazungumza. Wanapaswa kufikiri kwa kina kabla ya kutoa kauli, kwa kuwa maneno yao yanaweza kusababisha athari na hata sintofahamu katika jamii. Uongozi mzuri unahitaji hekima, busara, na uvumilivu.
Mbunge anahusika na majukumu mengi, kutoka kwenye vikao vya wazi hadi vikao vya siri. Wanapaswa kuwa na ufahamu wa mambo mazito na mepesi, na wanahitaji kuwa timamu kiakili katika majukumu yao. Hata katika hali ya furaha au hasira, wanapaswa kujizuia na kudhibiti hisia zao, ili kuepuka kuleta mtafaruku au machafuko.
Ni wazi kwamba viongozi wetu wanapaswa kuwa na kifua cha kuweza kuvumilia mawazo tofauti, kuheshimu maoni ya wengine, na kutoa kauli zinazojengwa kwa msingi wa hoja na tafakari. Wanapaswa kuwa viongozi wa mfano kwa jamii, na hivyo ni muhimu kwa wao kuwa watulivu na kufanya maamuzi sahihi.
Hata hivyo, matamshi na vitendo visivyo na uzito vinaweza kuathiri sifa za mbunge na chama chake. Hivyo, ni jukumu la chama kuhakikisha kuwa viongozi wake wanazingatia heshima, misingi ya uongozi, na wajibu wao kwa wananchi. Kujitokeza hadharani na kusema mambo ambayo si sahihi ni kujidhalilisha na kuathiri imani ya wananchi.
Tunapaswa kuhimiza viongozi wetu kuchukua jukumu lao kwa uzito na kujitahidi kuwa viongozi wa kuaminika na wa heshima. Matamshi yao yanaweza kuwa na athari kubwa katika jamii, hivyo wanapaswa kutumia nafasi yao kwa hekima na umakini. Tuna wajibu wa kuwachagua viongozi wenye kujali maslahi ya wananchi na taifa kwa ujumla.
Tuzidi kujitahidi kuwa na viongozi waadilifu na wenye ufahamu wa majukumu yao, ili kusongesha nchi yetu mbele kwenye maendeleo na amani. Tuwe macho na kuhakikisha kuwa wawakilishi wetu wanatimiza ahadi zao na kuendeleza ustawi wa nchi yetu.
Imetolewa na Lucas Hebel Mwashambwa, Mtanzania Mzalendo.
Simu: 0742-676627.
Pia, soma: Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe
Sitafuti uteuzi hapa jukwaaniUteuzi hauji hivyo dogo
Hata ije tume ya uchaguzi kutoka mareka bado CCM itapita nakushinda kwa kishindo kikubwa sana.kutokana na kuwa na sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania wanyonge.Imani hawana.
Chama changu ni gwiji kuiba kura za wananchi
Namba ya simu umeweka ili utongozwe?Sitafuti uteuzi hapa jukwaani
Kumbe Ni wew umeandika huu ujingaNdugu Zangu Watanzania: Umuhimu wa Uongozi Mzuri na Viongozi wa Kuaminika
Katika kipindi hiki cha mjadala wa kisiasa na kuleta maendeleo nchini Tanzania, ni muhimu sana kwa viongozi wetu, hasa wabunge, kuelewa jukumu kubwa wanalolobeba katika jamii. Wabunge ni wawakilishi wa wananchi, sauti ya watu, na wana jukumu la kuwawakilisha ipasavyo kwa masuala muhimu ya kitaifa.
Sauti ya mbunge ni kubwa, na wana uwezo wa kuhamasisha na kufikisha ujumbe kwa serikali na jamii kwa ujumla. Wanawakilisha wananchi wote, waliowapigia kura na hata wale ambao hawakupiga kura. Hivyo, wanapaswa kuwa makini na maneno yao na vitendo vyao, kwani yanaweza kuwa na athari kubwa kwa jamii.
Wakati wa kutoa matamshi au kauli hadharani, ni muhimu kwa wabunge kuzingatia uhalisia wa mambo wanayoyazungumza. Wanapaswa kufikiri kwa kina kabla ya kutoa kauli, kwa kuwa maneno yao yanaweza kusababisha athari na hata sintofahamu katika jamii. Uongozi mzuri unahitaji hekima, busara, na uvumilivu.
Mbunge anahusika na majukumu mengi, kutoka kwenye vikao vya wazi hadi vikao vya siri. Wanapaswa kuwa na ufahamu wa mambo mazito na mepesi, na wanahitaji kuwa timamu kiakili katika majukumu yao. Hata katika hali ya furaha au hasira, wanapaswa kujizuia na kudhibiti hisia zao, ili kuepuka kuleta mtafaruku au machafuko.
Ni wazi kwamba viongozi wetu wanapaswa kuwa na kifua cha kuweza kuvumilia mawazo tofauti, kuheshimu maoni ya wengine, na kutoa kauli zinazojengwa kwa msingi wa hoja na tafakari. Wanapaswa kuwa viongozi wa mfano kwa jamii, na hivyo ni muhimu kwa wao kuwa watulivu na kufanya maamuzi sahihi.
Hata hivyo, matamshi na vitendo visivyo na uzito vinaweza kuathiri sifa za mbunge na chama chake. Hivyo, ni jukumu la chama kuhakikisha kuwa viongozi wake wanazingatia heshima, misingi ya uongozi, na wajibu wao kwa wananchi. Kujitokeza hadharani na kusema mambo ambayo si sahihi ni kujidhalilisha na kuathiri imani ya wananchi.
Tunapaswa kuhimiza viongozi wetu kuchukua jukumu lao kwa uzito na kujitahidi kuwa viongozi wa kuaminika na wa heshima. Matamshi yao yanaweza kuwa na athari kubwa katika jamii, hivyo wanapaswa kutumia nafasi yao kwa hekima na umakini. Tuna wajibu wa kuwachagua viongozi wenye kujali maslahi ya wananchi na taifa kwa ujumla.
Tuzidi kujitahidi kuwa na viongozi waadilifu na wenye ufahamu wa majukumu yao, ili kusongesha nchi yetu mbele kwenye maendeleo na amani. Tuwe macho na kuhakikisha kuwa wawakilishi wetu wanatimiza ahadi zao na kuendeleza ustawi wa nchi yetu.
Imetolewa na Lucas Hebel Mwashambwa, Mtanzania Mzalendo.
Simu: 0742-676627.
Pia, soma: Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe
CCM Ni moja na wamoja siku zote na tutaendelea kuwa wamojaMtaanza kurukana wenyewe kwa wenyewe hadi pale unaa na ukweli utakapo jitenga dhahiri na kwa uwazi mkubwa🚶
Amesema niniNdugu Zangu Watanzania: Umuhimu wa Uongozi Mzuri na Viongozi wa Kuaminika

Amesema nin mbona umezungukaaaaaNdugu Zangu Watanzania: Umuhimu wa Uongozi Mzuri na Viongozi wa Kuaminika

Pia, soma: Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisame
Nita Sema uongo daima ndo ahadi mpya ya mwanaccmAhadi za mwanaccm: nitasema kweli daima uongo kwangu ni mwiko
Nimeandika alichozungumza ila nashangaa moderator wamehalili maudhui yanguAmesema nini
Amesema nin mbona umezungukaaaaa
kwan kosa la mbunge liko wap hapo jamn,, kama hajaelewa lugha iliyotumika unatak afanye nn,,, amesema hajaelewa kilichooandikwa hajasema amekataa au kuping mkataba,,, mbona unageuza mambo,, au na ww ni walewale wachumia tumbo bossNdugu Zangu Watanzania: Umuhimu wa Uongozi Mzuri na Viongozi wa Kuaminika
Katika kipindi hiki cha mjadala wa kisiasa na kuleta maendeleo nchini Tanzania, ni muhimu sana kwa viongozi wetu, hasa wabunge, kuelewa jukumu kubwa wanalolobeba katika jamii. Wabunge ni wawakilishi wa wananchi, sauti ya watu, na wana jukumu la kuwawakilisha ipasavyo kwa masuala muhimu ya kitaifa.
Sauti ya mbunge ni kubwa, na wana uwezo wa kuhamasisha na kufikisha ujumbe kwa serikali na jamii kwa ujumla. Wanawakilisha wananchi wote, waliowapigia kura na hata wale ambao hawakupiga kura. Hivyo, wanapaswa kuwa makini na maneno yao na vitendo vyao, kwani yanaweza kuwa na athari kubwa kwa jamii.
Wakati wa kutoa matamshi au kauli hadharani, ni muhimu kwa wabunge kuzingatia uhalisia wa mambo wanayoyazungumza. Wanapaswa kufikiri kwa kina kabla ya kutoa kauli, kwa kuwa maneno yao yanaweza kusababisha athari na hata sintofahamu katika jamii. Uongozi mzuri unahitaji hekima, busara, na uvumilivu.
Mbunge anahusika na majukumu mengi, kutoka kwenye vikao vya wazi hadi vikao vya siri. Wanapaswa kuwa na ufahamu wa mambo mazito na mepesi, na wanahitaji kuwa timamu kiakili katika majukumu yao. Hata katika hali ya furaha au hasira, wanapaswa kujizuia na kudhibiti hisia zao, ili kuepuka kuleta mtafaruku au machafuko.
Ni wazi kwamba viongozi wetu wanapaswa kuwa na kifua cha kuweza kuvumilia mawazo tofauti, kuheshimu maoni ya wengine, na kutoa kauli zinazojengwa kwa msingi wa hoja na tafakari. Wanapaswa kuwa viongozi wa mfano kwa jamii, na hivyo ni muhimu kwa wao kuwa watulivu na kufanya maamuzi sahihi.
Hata hivyo, matamshi na vitendo visivyo na uzito vinaweza kuathiri sifa za mbunge na chama chake. Hivyo, ni jukumu la chama kuhakikisha kuwa viongozi wake wanazingatia heshima, misingi ya uongozi, na wajibu wao kwa wananchi. Kujitokeza hadharani na kusema mambo ambayo si sahihi ni kujidhalilisha na kuathiri imani ya wananchi.
Tunapaswa kuhimiza viongozi wetu kuchukua jukumu lao kwa uzito na kujitahidi kuwa viongozi wa kuaminika na wa heshima. Matamshi yao yanaweza kuwa na athari kubwa katika jamii, hivyo wanapaswa kutumia nafasi yao kwa hekima na umakini. Tuna wajibu wa kuwachagua viongozi wenye kujali maslahi ya wananchi na taifa kwa ujumla.
Tuzidi kujitahidi kuwa na viongozi waadilifu na wenye ufahamu wa majukumu yao, ili kusongesha nchi yetu mbele kwenye maendeleo na amani. Tuwe macho na kuhakikisha kuwa wawakilishi wetu wanatimiza ahadi zao na kuendeleza ustawi wa nchi yetu.
Imetolewa na Lucas Hebel Mwashambwa, Mtanzania Mzalendo.
Simu: 0742-676627.
Pia, soma: Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe
Sijaona mimi Maana ni maneno maneno tuuuuuNimeandika alichozungumza ila nashangaa moderator wamehalili maudhui yangu
Njaa mbaya sana ukichanganya ujinga mtu anakuwa kichaaakwan kosa la mbunge liko wap hapo jamn,, kama hajaelewa lugha iliyotumika unatak afanye nn,,, amesema hajaelewa kilichooandikwa hajasema amekataa au kuping mkataba,,, mbona unageuza mambo,, au na ww ni walewale wachumia tumbo boss
Sent using Jamii Forums mobile app
umeshafika bunda ww? tuulize wenye bunda yetu na tuache kabsa na maboto wetu,,,na hatufikilii mtu mwingne tofaut na yy,,Hapana siyo nipewe mimi bali apewe mwingine mwenye uwezo na anayekidhi vigezo vya ubunge anayejuwa kero, changamoto na matatizo ya wana Bunda,anayejuwa nini atawafanyia wanaunda katika yale yote yaliyochangamoto kwao. Aliye mkazi na mwenyeji wa Bunda na ambaye analifahamu kwa undani jimbo lake.
Punguza nyege mkuu!Simu: 0742-676627.
Ndugu Zangu Watanzania: Umuhimu wa Uongozi Mzuri na Viongozi wa Kuaminika
Katika kipindi hiki cha mjadala wa kisiasa na kuleta maendeleo nchini Tanzania, ni muhimu sana kwa viongozi wetu, hasa wabunge, kuelewa jukumu kubwa wanalolobeba katika jamii. Wabunge ni wawakilishi wa wananchi, sauti ya watu, na wana jukumu la kuwawakilisha ipasavyo kwa masuala muhimu ya kitaifa.
Sauti ya mbunge ni kubwa, na wana uwezo wa kuhamasisha na kufikisha ujumbe kwa serikali na jamii kwa ujumla. Wanawakilisha wananchi wote, waliowapigia kura na hata wale ambao hawakupiga kura. Hivyo, wanapaswa kuwa makini na maneno yao na vitendo vyao, kwani yanaweza kuwa na athari kubwa kwa jamii.
Wakati wa kutoa matamshi au kauli hadharani, ni muhimu kwa wabunge kuzingatia uhalisia wa mambo wanayoyazungumza. Wanapaswa kufikiri kwa kina kabla ya kutoa kauli, kwa kuwa maneno yao yanaweza kusababisha athari na hata sintofahamu katika jamii. Uongozi mzuri unahitaji hekima, busara, na uvumilivu.
Mbunge anahusika na majukumu mengi, kutoka kwenye vikao vya wazi hadi vikao vya siri. Wanapaswa kuwa na ufahamu wa mambo mazito na mepesi, na wanahitaji kuwa timamu kiakili katika majukumu yao. Hata katika hali ya furaha au hasira, wanapaswa kujizuia na kudhibiti hisia zao, ili kuepuka kuleta mtafaruku au machafuko.
Ni wazi kwamba viongozi wetu wanapaswa kuwa na kifua cha kuweza kuvumilia mawazo tofauti, kuheshimu maoni ya wengine, na kutoa kauli zinazojengwa kwa msingi wa hoja na tafakari. Wanapaswa kuwa viongozi wa mfano kwa jamii, na hivyo ni muhimu kwa wao kuwa watulivu na kufanya maamuzi sahihi.
Hata hivyo, matamshi na vitendo visivyo na uzito vinaweza kuathiri sifa za mbunge na chama chake. Hivyo, ni jukumu la chama kuhakikisha kuwa viongozi wake wanazingatia heshima, misingi ya uongozi, na wajibu wao kwa wananchi. Kujitokeza hadharani na kusema mambo ambayo si sahihi ni kujidhalilisha na kuathiri imani ya wananchi.
Tunapaswa kuhimiza viongozi wetu kuchukua jukumu lao kwa uzito na kujitahidi kuwa viongozi wa kuaminika na wa heshima. Matamshi yao yanaweza kuwa na athari kubwa katika jamii, hivyo wanapaswa kutumia nafasi yao kwa hekima na umakini. Tuna wajibu wa kuwachagua viongozi wenye kujali maslahi ya wananchi na taifa kwa ujumla.
Tuzidi kujitahidi kuwa na viongozi waadilifu na wenye ufahamu wa majukumu yao, ili kusongesha nchi yetu mbele kwenye maendeleo na amani. Tuwe macho na kuhakikisha kuwa wawakilishi wetu wanatimiza ahadi zao na kuendeleza ustawi wa nchi yetu.
Imetolewa na Lucas Hebel Mwashambwa, Mtanzania Mzalendo.
Simu: 0742-676627.
Pia, soma: Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe
Utasugua sana benchi hadi makalio yaote sigda lakiini kamwe hutateuliwa uchawa wako ni wa kibwege sanaNdugu Zangu Watanzania: Umuhimu wa Uongozi Mzuri na Viongozi wa Kuaminika

Kama ni msema kweli uhame mapema ccm huna chako Bora uhamie CHAUMA ukale wali, waongo na wazandiki wamejaa ccm ukipenda ukweli hata ukatibu kata utausikia redioni hupewi NG'OOO Hadi ukubuhu kwenye uzandiki ndo utafikiriwaMimi siyo chawa bali ni msema ukweli