Mbunge wa Bunda ameidhalilisha CCM na anapaswa kukatwa jina lake uchaguzi ujao

CCM yote inapaswa kukatwa. Period.

CCM must Go.
 
Unataka aaminiwe na nani? Landa hujui hata namna walivyozipata hizo nafasi.
 
Siyo kwamba kashawishiwa na baadhi ya watu kuzungumza aliyo yazungumza
Kwanini usiseme alishawishiwa kupiga kura hata kama hajui anachoenda kupiga kura ili kulinda maslahi ya chama?

Kuna taarifa kwamba kulikua na kikao Cha wabunge wote siku Moja kabla ya kujadili na kupiga kura. Huoni kama ndiko walikomshawishi kupiga kura asochokijua!

Unataka kuniambia kwamba wabunge wote ni wataalamu wa Sheria?. Dhamiri yake imemsuta imebidi akiri mbele ya waliomtuma ambao ni wananchi wake.
 
Unataka aaminiwe na nani? Landa hujui hata namna walivyozipata hizo nafasi.
Walizopata kura za kuwapeleka Bungeni Baada ya kupewa nafasi ya kupeperusha bendera na chama na hatimaye wakapigiwa kura na wananchi ,walioonyesha imani yao kwa CCM na ilani yake ,hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa. CCM Ndio chama chenye uchungu na maisha ya watanzania na kilichoonyesha uwezo wa kiuongozi katika kuwaongoza na kuwaletea maendeleo wananchi. Ndio chama pekee chenye sera ,ajenda na Dira inayoeleweka
 
Asilimia 90 ya Wabunge wa CCM ni Mambumbumbu.
 
Lini Wabunge waliwauliza Wananchi wao kuhusu mkataba wa Bandari?
 
CCM Ni chama safi na chenye mikono safi
Ndiyo maana unaonekana kama hayawani. Chama ambacho watu mpaka wanauana ili kupata madaraka, halafu unasema ni chama safi ja kina mikono safi!! Kweli wewe umezidi hata kwenye uhayani.

"CCM hawaachiani hata maji mezani" - Jakaya Kikwete.

"Nikiwa kazini, viongozi wenzangu waliniwekea sumu" - Hayati Magufuli.

"CCM ni kokoro, nimekusanya watu wote, wazuri na wabaya" - Rais Mwinyi.

Halafu taahira mmoja, asiye na mbele wala nyuma, anasema CCM ni takatifu!!
 
Acha kuandika vitu pasipo ushahidi. Nani waliuawaba kwa ajili ya kutafuta madaraka?
 
Kama haelewi lugha ambayo imekuwa ikitumika katika nyaraka na miswaada mbalimbali inayowasilishwa bungeni ni vipi aendelee kuaminiwa kuwa mbunge? N
Kuna wanafunzi wanaosoma shuleni Mika Saba lakini hawamwelewi mwalimu labda kutokana na lugha inayofundishiwa shuleni lakini walimu hawawakatai Wala kuendelea kuwaamini.

Lakini wa kulaumiwa ni CCM na serikali yake Kwa kuwa na katiba mbovu ya kijinga ambayo inamtaka mtu anayetaka kuwa mwakilisgi kwenye chombo Cha kutunga sheria na kuismimamia serikali awe anajua kusoma na kuandika.

Sasa je unadhani lugha ya kimkataba aumbayo ni lugha ya kisheria angeweza kuielewa hata angepewa mwezi au mwaka mzima.?

Umeendelea kuweka bayana kwamba amekisaliti chama. Sio kweli dhambi ya kuwasaliti wananchi ndio inayomtafuna ndio mana amewaangukia, sio chama kilimchagua ni wananchi waliomchagua na kumtuma kuwawakilisha. Tumia akili Mwashambwa
 
Subirini 2025, CCM ishashinda 2020 kwa kura nyingi 87%/13% na wabunge 349/1. Mmetumia ukabila mmeshindwa, mtatumia udini, hakuna - CCM ishashinda 202o na kwa kasi hii sioni kama mna upenyo wa kupita.
 
Acha kuandika vitu pasipo ushahidi. Nani waliuawaba kwa ajili ya kutafuta madaraka?
Kwanini usijibu hizo quotations za viongozi wakuu alizoainisha hapo?
Kwanini usikumbuke Job ndugai alimpiga kichwani fimbo opponent wake kwa kuzimia. Hali ambayo ingemsababishia kupoteza maisha
 
Bora muanze kujipunguza wenyewe ili kutupunguzia mizigo.

Rorya inaenda upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…