Mbunge wa Bunda ameidhalilisha CCM na anapaswa kukatwa jina lake uchaguzi ujao

Uteuzi hauji hivyo dogo
 
Imani hawana.

Chama changu ni gwiji kuiba kura za wananchi
Hata ije tume ya uchaguzi kutoka mareka bado CCM itapita nakushinda kwa kishindo kikubwa sana.kutokana na kuwa na sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania wanyonge.
 
Kumbe Ni wew umeandika huu ujinga

Blaf fekenii

Nimepoteza muda na mb zangu kusoma upuuz huu
 
Kuna tetesi kuwa Mbunge kachukuliwa na Watu wasiojulikana🤔
 
Amesema nini
Amesema nin mbona umezungukaaaaa
 
kwan kosa la mbunge liko wap hapo jamn,, kama hajaelewa lugha iliyotumika unatak afanye nn,,, amesema hajaelewa kilichooandikwa hajasema amekataa au kuping mkataba,,, mbona unageuza mambo,, au na ww ni walewale wachumia tumbo boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeshafika bunda ww? tuulize wenye bunda yetu na tuache kabsa na maboto wetu,,,na hatufikilii mtu mwingne tofaut na yy,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu: 0742-676627.
Punguza nyege mkuu!
Huu uchawa utakufikisha pabaya.
Fanya kazi Kwa bidii.

Inaonekana wewe ni mbinafsi na roho mabaya sana.

Hujali kabisa masilahi ya kizazi kijacho kuhusu raslimali zetu.

Watu walipigania ukoloni ili sisi tuwe Uhuru. Leo kizazi kama nyinyi mnashindwa kupigania raslimali zetu.

Unajiangalia wewe na CCM yako mnajiona mmeyaweza maisha.

Watu tunaona wanavyogawa Mali zetu Kwa nyarabu alafu mjinga kama wewe unatetea upuuzi. Nonsense kabisa.

Mungu ebu tuondolee huu udhalimu wa viongozi wa CCm wasio jali hatima ya kizazi kijacho.
 

Kukiri kuwa hajui lugha iliyoandikwa kwenye mkataba ni kuidhalilisha ccm?

Je wote wakihojiwa 1 mmoja unategemea ni wangapi watakiri kama huyo mbunge wa Bunda?

Labda nikuhakikishie tu kuwa hiyo ndio picha halisi ya chama chenyewe kilivyo!

Hivi aliyekiri kuwa haelewi na wewe unayejiita mzalendo na kupigia debe kitu uchokielewa ni bora yupi?

Hata mama ukimpatia huo mkataba hajui kitu!

Ukiondoa ubabe na kubebwa na dola hakuna ccm na haina ushawishi wo wote kwa watanzania

Acha unafiki!
 
Utasugua sana benchi hadi makalio yaote sigda lakiini kamwe hutateuliwa uchawa wako ni wa kibwege sana
 
Mimi siyo chawa bali ni msema ukweli
Kama ni msema kweli uhame mapema ccm huna chako Bora uhamie CHAUMA ukale wali, waongo na wazandiki wamejaa ccm ukipenda ukweli hata ukatibu kata utausikia redioni hupewi NG'OOO Hadi ukubuhu kwenye uzandiki ndo utafikiriwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…