Mbunge wa CCM acharuka maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania

Naona wewe hujafika Zanzibar.
 
Ni dharau kweli. Lakini kabla ya wazungu kutudharau sisi wenyewe tumeanza kujidharau
 
Ni wapi Bunge la Ulaya lilizungumzia Ushoga na Maji?
 
Hivi kwa nini wakiambiwa ukweli wanakimbilia Ushoga na Usagaji😁😁😁
Ajabu wakienda kutembeza bakuli huwaita wahisani ,wafadhili, marafiki wetu kwenye maendeleo.

Sasa mtu ambaye hana exposure ya kufika hata hapo Kenya mtu yoyote mweupe wanamuita beberu wanasahau kuna watu weupe wengi tu ni raia wa Tanzania kama kina Richard Mabala.
 
KOHIO ULAYA WANATAKA WANAUME WAPIGWE MITI SIO
 
Hela zao wanazitaka na wanazipokea kwa mikono miwili huku wamekenua meno halafu wakijadiliwa wananuna
 
Mambo mazuri kama demokrasia na tume ya
Msitake kupotosha mada, suala lilikuwa ni Tundu Lissu kuachiwa na kuwe tume huru ya uchaguzi, Mafisiem yanajifichia kwenye kichaka cha ushoga
 
Yaani wanatuona wajinga, hoja kuu ya Eu ni Demokrasia, Bunge linasema linawawikilisha wananchi wakati wanaohitajika na wananchi wanakatwa wanawekwa watu wao wa CCM. Wajibu hoja za EU kwenye ukandamizaji wa Demokrasia ! Hili la ushoga limeshapingwa Africa nzima na wala sio jambo lililosabsbisha EU watukalie kidete. Ni TL na Demokrasia tu!.
 
Mungu ameinua watetezi.

Chini ya Lissu wataona mambo mengi.

KIbao kimegeuka
 
CCM waache kutegemea misaada ya nchi wahisani. Anayekulisha ndiye anayekupangia maisha
 
Nyie mafala bila wazungu hakuna CCM hamna ubavu wa kuwagomea
 
Majibu ya kimasikini haya
Eti wasipoleta hela za maji mtakunywa hata ya kisima
Badala ya kupambana eti majibu ndio haya ya wasomi
Kweli leo maji yote hayo mnasubiri mzungu awasaidie kama wagonjwa?

Uanaume ni kuwalima barua na kusema kateni misaada yote
( Thubutu)
 
Vikwazo vianzie kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…