johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana 😂
====
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.
Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo moja kwa moja kwa sababu wenye uhitaji wa kusoma ni wengi lakini wanakosa nafasi hiyo kutokana na kukosa karo.
Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.