Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kinachoshindikana.Kama wamepeana udaktari watashindwa kugawiana kingine kulingana na uhitaji wao?Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana 😂
====
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.
Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo moja kwa moja kwa sababu wenye uhitaji wa kusoma ni wengi lakini wanakosa nafasi hiyo kutokana na kukosa karo.
Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Bora huyo Kishimba kuliko anayetaka wanafunzi wasipewe boomNi mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana 😂
====
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.
Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo moja kwa moja kwa sababu wenye uhitaji wa kusoma ni wengi lakini wanakosa nafasi hiyo kutokana na kukosa karo.
Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Sasa hapo bungeni wapumbavu Kama yeye kwanini wasiendeleze biashara zao na wanakaa kukimbilia siasa Huku wakijua ni akili ndogoNi pesa tu, Kishimba ni tajiri mpumbavu.
Inasikitisha Sana nchi imejaa wapumbavu kila konaMwingine huyu hapa
View attachment 2984908
Ilikuwepo hiyo UDSM kulikuwa na course ya computer, kila ukimaliza mwaka unapata chetiAna point... Inaweza kuwa mwaka WA kwanza certificate, wa pili diploma wa 3 advanced diploma wa nne degree. Kwa hiyo popote utakapoishia unaondoka na cheti chochote
Ok,,hoja yake Iko sawa nusu degree ni jina tu lakini muhimu ni idea yakeUingereza unaweza kupewa diploma uiikishia njiani it is possble na siyo nusu degree hakuna kitu kama hicho.
Mwendazake motoni moja kwa mojaKama ilivyo kwa binadamu wote, kila mtu ana wema na ubaya, kwa wabunge hawa MWENDAZAKE ALAUMIWE MOJA KWA MOJA.
Darasa la saba! what do you expect of him!Ni pesa tu, Kishimba ni tajiri mpumbavu.
Ni biashara chache tu zinazozidi faida ya milioni 16 kwa mwezi, na mafao ya milioni 400 kila baada ya miaka mitano..... pia dhamana ya mikopo mikubwa.Sasa hapo bungeni wapumbavu Kama yeye kwanini wasiendeleze biashara zao na wanakaa kukimbilia siasa Huku wakijua ni akili ndogo
Hakuna cha idea, kwani hakuna vyuo vya diploma?Ok,,hoja yake Iko sawa nusu degree ni jina tu lakini muhimu ni idea yake
Siamini kama moto upo ila naamini alikosea sana, aliharibu legacy yake na aliiharibu nchi. Binafsi kwa kosa hill tu sioni sababu ya kumuita shujaa wa AfricaMwemd
Mwendazake motoni moja kwa moja