Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa alichochangia ni kipi hapo, maana huwa wanapewa.Ana point... Inaweza kuwa mwaka WA kwanza certificate, wa pili diploma wa 3 advanced diploma wa nne degree. Kwa hiyo popote utakapoishia unaondoka na cheti chochote
Yes wengi hawajui, ukiachana na hilo wengi wana matokeo mabovu kushindwa hata kuchukua hivyo vyeti.Mbona huo utaratibu upo!
Sema wanafunzi wenyewe huwa hawafuatilii kwa kuwa hajui!
Naam!Mkuu, katika globalization ya leo na ushindani wa soko la ajira bado unawaza nusu degree za kutumika Tanzania peke yake?
Hii nchi uhuru umezidi wakuu.
Huo uhuru upunguzwe tu!Hii nchi uhuru umezidi wakuu.
Niliwahi kusikia kuwa St. Joseph University of Tanzania (SJUT) wanafanya hiyo kitu. Mtu akikosa ada au hata akifeli kuendelea na masomo ya mwaka unaofuata basi anapewa cheti kwa muda aliosoma.Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana 😂
====
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.
Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo moja kwa moja kwa sababu wenye uhitaji wa kusoma ni wengi lakini wanakosa nafasi hiyo kutokana na kukosa karo.
Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Huko ccm vichaa wote sema hawajui kama wao vichaaNi mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana 😂
====
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.
Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo moja kwa moja kwa sababu wenye uhitaji wa kusoma ni wengi lakini wanakosa nafasi hiyo kutokana na kukosa karo.
Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Nusu degree tena duh!!
SanaBagoshaa 😊😅😇😇