Mbunge wa CCM apendekeza Vyuo Vikuu vianze kutoa Nusu Degree kwa Wanafunzi wanaoishia njiani

Mbunge wa CCM apendekeza Vyuo Vikuu vianze kutoa Nusu Degree kwa Wanafunzi wanaoishia njiani

Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba

Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"

Source: EATV

CCM kuna Burudani sana 😂

====

Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo moja kwa moja kwa sababu wenye uhitaji wa kusoma ni wengi lakini wanakosa nafasi hiyo kutokana na kukosa karo.

Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Hamna kinachoshindikana.Kama wamepeana udaktari watashindwa kugawiana kingine kulingana na uhitaji wao?
 
Lissu aliposema hili bunge la mchango ni kweli bunge limejaa vilaza na watu wa hovyo
Mkichagua mbunge mjinga ina maana kwenye jimbo mjinga mwenye nafuu ni yeye na anawawakilisha wajinga wenzake.
 
Tanzania tuna uhaba wa watu wenye Akili na ambao wapo logically I guess hii ni kwa sababu sisi wenye akili kubwa hatutaki Siasa na vilaza kukimbilia siasa.

Huyu Mbunge anauliza eti kwanini serikali isitoe nusu degree? Then anajiita mwakilishi wa wananchi. Kid
 
Attachments

  • Screenshot_20240508-213534_1715193359635.jpg
    Screenshot_20240508-213534_1715193359635.jpg
    234.6 KB · Views: 2
Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba

Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"

Source: EATV

CCM kuna Burudani sana 😂

====

Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo moja kwa moja kwa sababu wenye uhitaji wa kusoma ni wengi lakini wanakosa nafasi hiyo kutokana na kukosa karo.

Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Bora huyo Kishimba kuliko anayetaka wanafunzi wasipewe boom
 
Kama ilivyo kwa binadamu wote, kila mtu ana wema na ubaya, kwa wabunge hawa MWENDAZAKE ALAUMIWE MOJA KWA MOJA.
 
Ana point... Inaweza kuwa mwaka WA kwanza certificate, wa pili diploma wa 3 advanced diploma wa nne degree. Kwa hiyo popote utakapoishia unaondoka na cheti chochote
Ilikuwepo hiyo UDSM kulikuwa na course ya computer, kila ukimaliza mwaka unapata cheti
 
Uingereza unaweza kupewa diploma uiikishia njiani it is possble na siyo nusu degree hakuna kitu kama hicho.
Ok,,hoja yake Iko sawa nusu degree ni jina tu lakini muhimu ni idea yake
 
Huyu mnamwita shujaa alikuwa ni akili ndogo na yeye na alikuwa hayupo logical

Huwezi kuruhusu watu wenye akili ndogo wapite bila kupingwa

MTU Kama huyu anaingiaje bungeni!!! Then unajiita mtetezi wa wanyonge.
Screenshot_20240508-213534_1715193359635.jpg
 
Sasa hapo bungeni wapumbavu Kama yeye kwanini wasiendeleze biashara zao na wanakaa kukimbilia siasa Huku wakijua ni akili ndogo
Ni biashara chache tu zinazozidi faida ya milioni 16 kwa mwezi, na mafao ya milioni 400 kila baada ya miaka mitano..... pia dhamana ya mikopo mikubwa.
 
Haaaahaaaahaaa aise hawa wabunge wa magu bora wangetangulia nae maana katuachia mizigo eti nusu degree .
 
Back
Top Bottom