johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyo Kishimba ana degree? Aambiwe suala la degree lina context ya international calibration of educational qualifications. Sasa hizo nusu degree nani atazitambua, serikali ya CCM peke yake ndani ya mipaka ya Tanzania?Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana π
Bagoshaa ππ ππNi mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana π
Ndio hao hao wa T scan na Tc scan..... nchi hii Mungu kama yupo anyway , alikosea sana kuiumba au kumuumba Nyerere aliyetuletea ukomunisti na kila mmoja kuwa juha!Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana π
Bora kutumia muda wangu kumsikiliza Lissu akisema Raisi Samia ni Mzanzibar kuliko hoja za wabunge wa CCM!Asilaumiwe, kachangia kwa ukomo wa fikra/uelewa wake.
Kama kuna Wabunge Wasio na Vyama Ndani ya Muhimili wa kutunga Sheria unashangaa nini Nusu Degree? πππNdio hao hao wa T scan na Tc scan..... nchi hii Mungu kama yupo anyway , alikosea sana kuiumba au kumuumba Nyerere aliyetuletea ukomunisti na kila mmoja kuwa juha!
Ndio Half Degree πΌπππ huwa wanapewa diploma kama wana matokeo mazuri kwa baadhi ya vyuo.
Hiyo nusu degree ndio kitu gani??
Ana point... Inaweza kuwa mwaka WA kwanza certificate, wa pili diploma wa 3 advanced diploma wa nne degree. Kwa hiyo popote utakapoishia unaondoka na cheti chochoteNi mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana π
Your ccmKama kuna Wabunge Wasio na Vyama Ndani ya Muhimili wa kutunga Sheria unashangaa nini Nusu Degree? πππ
Chadema piaYour ccm
Mimi nadhani kawaza vizuri. Haya maboresho mazuri unayoyapendekeza usingeyaleta bila hoja yake kutikisa bunge ama nchi. Ana hoja nzuri lakini yanahitajika mambo kadhaa.Huyo Kishimba ana degree? Aambiwe suala la degree lina context ya international calibration of educational qualifications. Sasa hizo nusu degree nani atazitambua, serikali ya CCM peke yake ndani ya mipaka ya Tanzania?
Angekuwa na akili angesema angalau wapewe diploma au certificates, lakini kufanya hivyo huamui tu, inabidi chuo kifanye reconfiguration ya course, ukiishia mwaka wa tatu mfano, ikubalike hiyo ni equivalent to diploma.
Na kama angekuwa na akili sana, angesema wapewe mitihani ya equivalent course ya diploma
Kuna wabunge wanaongea utafikiri walisahau akili nyumbani
Huyo mbunge ni Darasa la sabaHii nchi uhuru umezidi wakuu.
Mkuu, katika globalization ya leo na ushindani wa soko la ajira bado unawaza nusu degree za kutumika Tanzania peke yake?Mimi nadhani kawaza vizuri. Haya maboresho mazuri unayoyapendekeza usingeyaleta bila hoja yake kutikisa bunge ama nchi. Ana hoja nzuri lakini yanahitajika mambo kadhaa.
Nilisoma degree nchini Somalia kwa Kisomali. Haitambuliki kokote lakini nchini Somalia naheshimika sanaaa tu.
Hiyo nusu degree huenda alimaanisha stashahada au astashahada . Vijana wenye vyeti hivyo watafanya kazi nchini Tanzania. Sioni ubaya.
Apewe maua
Hadi sasa inatolewa kwa kuwa mtu anaweza kuahirisha mwaka!Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana π
Uingereza unaweza kupewa diploma uiikishia njiani it is possble na siyo nusu degree hakuna kitu kama hicho.Huyo Kishimba ana degree? Aambiwe suala la degree lina context ya international calibration of educational qualifications. Sasa hizo nusu degree nani atazitambua, serikali ya CCM peke yake ndani ya mipaka ya Tanzania?