mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Tusijisahaulishe M'bunge nae ni binaadamu kama binaadamu wengine, anapodhihakiwa au kutendwa nae anakasirika! na mtu anapokasirika anaweza kutoa kauli yoyote ile, na kauli haimuondolei kuwa mwakilishi wa wananchi.