Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Kwa kweli ni shida. Ila wanaume tuna mchango mkubwa ktk kuwafanya wanawake wawe sawa. Kosa liko kwenye kuchangua mke; mke unakutana naye na kumchumbia ktk mazingira gani matters a lot. Wanawake ni wepesi wa kusema hovyo kwa hivyo wanaume wanapaswa ku exercise self control.Kiukweli Duniani kama Tunawndelea kuishi na aina ya Wanawake wa Kariba hii sidhani kama kuna Mwanaume atathubutu kuwaoa Wanawake maana itakuwa maana ya kuoa ni Kujidhalilisha.
Mke anaenda kwa Mume Wake na Kamera ili amdhalilishe kwenye Mitandao ya Kijamii hapo ni hayo tuliyoyaona je ndani ilikuweje.
Tunauzoefu Wazazi Wetu Walioa Wanawake Zaidi hata ya Sita lakini hatujawahi kusikia Vibwrka Vya aina ya Anayejitaja Mke wa Mbunge.
Nadhani kitu kinachoitwa GBV kiangaliwe upya hii siyo nidhamu kwa Mume Wake
Mwanaume gombana na mke wangu ndani ya nyumba yako siyo nje ya nyumba.