mfuga kuku JF-Expert Member Joined Jul 14, 2014 Posts 824 Reaction score 650 Jul 8, 2023 #181 Tusijisahaulishe M'bunge nae ni binaadamu kama binaadamu wengine, anapodhihakiwa au kutendwa nae anakasirika! na mtu anapokasirika anaweza kutoa kauli yoyote ile, na kauli haimuondolei kuwa mwakilishi wa wananchi.
Tusijisahaulishe M'bunge nae ni binaadamu kama binaadamu wengine, anapodhihakiwa au kutendwa nae anakasirika! na mtu anapokasirika anaweza kutoa kauli yoyote ile, na kauli haimuondolei kuwa mwakilishi wa wananchi.
Somoche JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 6,795 Reaction score 9,143 Jul 9, 2023 #182 Nyumba mmeiona?? mhurumieni tu jamaa kachoka sana....kwa nyumba hiyo muacheni tu
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,258 Reaction score 20,386 Jul 9, 2023 #183 Hawa hapa wakila bata.