Mbunge wa CCM (Tabora) amdhalilisha mkewe hadharani

Kwa kweli ni shida. Ila wanaume tuna mchango mkubwa ktk kuwafanya wanawake wawe sawa. Kosa liko kwenye kuchangua mke; mke unakutana naye na kumchumbia ktk mazingira gani matters a lot. Wanawake ni wepesi wa kusema hovyo kwa hivyo wanaume wanapaswa ku exercise self control.
Mwanaume gombana na mke wangu ndani ya nyumba yako siyo nje ya nyumba.
 
Kuna mambo yanafurahisha sana, tapeli wa mapenzi...
 
Huyo mwanamke hafai kabisa, mambo ya kifamilia sio ya kuchukua video na kuitangazia dunia
Nia ya huyu binti ilikuwa kumtangazia mbovu mbunge na hii inadhihirika pale anapotaja ubunge wake na jimbo la Malaya mwenzie Jimbo la Tabora Mjini... Tabora kuchelile!
 
Pole yake sana ila kwenye clip inaonekana huyo Mwanamke ni "MKE WETU"(CHA WOTE) kwa mujibu wa Maelezo ya Mbunge.

Aina za MKE:-

1. MKE MKEO
2.MKE JINA
3.MKE WETU.
 
Huyo mke ndio mpumbavu sana, kajidhalilisha mwenyewe , changamoto za ndani ya nyumba unamrekodije mwezi wako??
 
Mbunge alipandwa na hasira hakuikumbuka nafasi yake kwenye jamii, wajanja wakampiga picha, matokeo yake sasa ni lawama kwake hata kama kosa hatujui lilipoanzia.
Picha kapiga mkewe mpumbavu tu, inavyoonyesha huyo alikuwa nyumba ndogo alivyomplania jamaa, haikufaa kitu ndio krΓ³na amrekodi
 
Tatizo wanawake wa sikuizi mna tamaa sana acha mdhalilishwe
 
Na wewe naye umeanza utoto.Unajua wanagombea nini hadi wazazi kutajwa?Usitumike.Jitahidi uwe mpatanishi.Lwanzari haijajaa.Mtazikwa wote.
 
kweli ndiyo maana elon musk,bill gates, jeff na matajiri wengi wamefukuza wake zao.πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
 
Itakuwa Mubunge hapigi miti ipasavyo, hiyo pisi inaonekana ni zile type za kupelekewa moto "kwerikweri"
Limwanamke linalobishana na mume bila staha ni bogus hilo.Halafu likamkodi na mjinga mwenzie arekodi upupu wao waulete JF akidhani ataonewa huruma bila kutueleza nini chanzo cha ugomvi wao kwa sababu tu ana sehemu za siri zenye maumbo/maumbile ya kike!Atumie akili.
 
Ulishasema Ni mbunge wa CCM.
Ni muda mrefu sijawahi kusikia habari nzuri toka kwa mbunge wa CCM.
 
Ufuska hauna chama usiweke siasa hapo

Slaa alipora mke wa mahimbo, mboowe alizalisha mbunge wa viti maalum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…