SENZANGAKONA JF-Expert Member Joined Oct 18, 2014 Posts 278 Reaction score 212 Dec 24, 2019 #61 Bila shaka atakuwa yule dogo Sent using Jamii Forums mobile app
Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,455 Reaction score 73,145 Dec 24, 2019 #62 johnthebaptist said: Mwambe kurudi CCM siyo habari....... HABARI ni huyu bwashee aliyetimba Lumumba kama ameamua kuunga mkono juhudi! Click to expand... Mbona Chadema ikisikia mbunge ameenda Lumumba haishtuki? Lakini kwenu nyie kukimbiwa ni visa na visasi hata ikiwezekana kumtafutia kifo? Mbona mko wengi uchungu wa nini? Sent using Jamii Forums mobile app
johnthebaptist said: Mwambe kurudi CCM siyo habari....... HABARI ni huyu bwashee aliyetimba Lumumba kama ameamua kuunga mkono juhudi! Click to expand... Mbona Chadema ikisikia mbunge ameenda Lumumba haishtuki? Lakini kwenu nyie kukimbiwa ni visa na visasi hata ikiwezekana kumtafutia kifo? Mbona mko wengi uchungu wa nini? Sent using Jamii Forums mobile app
euca JF-Expert Member Joined Apr 6, 2015 Posts 3,811 Reaction score 4,178 Dec 24, 2019 #63 Lumumba si mtaa tu kila mtu anahaki ya kupita Hapo na kuwasalimu hao jamaa na radio Yao so Hakuna shida nadhani hata ww huwa unapita Hapo Sent using Jamii Forums mobile app
Lumumba si mtaa tu kila mtu anahaki ya kupita Hapo na kuwasalimu hao jamaa na radio Yao so Hakuna shida nadhani hata ww huwa unapita Hapo Sent using Jamii Forums mobile app
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Dec 24, 2019 #64 Salary Slip said: CCM haiwezi kukubalika kwa kuokoteza mamluki hivyo msijidanganye. Click to expand... Kwamba leo CCM ndio wanaokoteza, watu wanarejea kwao baada ya kutimiza mission we unawaita mamluki.... karibu nyumbani mwana mpotevu.
Salary Slip said: CCM haiwezi kukubalika kwa kuokoteza mamluki hivyo msijidanganye. Click to expand... Kwamba leo CCM ndio wanaokoteza, watu wanarejea kwao baada ya kutimiza mission we unawaita mamluki.... karibu nyumbani mwana mpotevu.
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,205 Reaction score 33,287 Dec 24, 2019 #65 Karibu ccm sesilia mwamba,,wamekunyima cheo,sisi tutakupa ulaji mzuri tu