Mbunge wa Chadema aonekana Lumumba akiteta na mwenezi wa CCM

Mbunge wa Chadema aonekana Lumumba akiteta na mwenezi wa CCM

Mwambe kurudi CCM siyo habari....... HABARI ni huyu bwashee aliyetimba Lumumba kama ameamua kuunga mkono juhudi!
Mbona Chadema ikisikia mbunge ameenda Lumumba haishtuki? Lakini kwenu nyie kukimbiwa ni visa na visasi hata ikiwezekana kumtafutia kifo?
Mbona mko wengi uchungu wa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba si mtaa tu kila mtu anahaki ya kupita Hapo na kuwasalimu hao jamaa na radio Yao so Hakuna shida nadhani hata ww huwa unapita Hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM haiwezi kukubalika kwa kuokoteza mamluki hivyo msijidanganye.

Kwamba leo CCM ndio wanaokoteza, watu wanarejea kwao baada ya kutimiza mission we unawaita mamluki.... karibu nyumbani mwana mpotevu.
 
Karibu ccm sesilia mwamba,,wamekunyima cheo,sisi tutakupa ulaji mzuri tu
 
Back
Top Bottom