Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

Komenti ya moto hii
 
Hata wakikata ,shida zitatumika inavyotakiwa? Hizi tu wanazokata sasa hivi watu wanakwapua , hio mifuko wakina NHIF na wenzake si inafeli sababu watu wanakwapua, labda wanataka tena wakate ziingie mifukoni mwao
 
Hii inaitwa tugawane umasikini. Kwa mishahara Gani ya watumishi wa umma hususani halmashauri. Mimi nashauri wa punguze posho na mishahara yao(wabunge) ili tuone dhamira yao ya dhati kwa mtanzania masikini.
 
Mkuu milioni kumi kwakazi gani? Wameshindwa hata kushuhulikia wabadhirifu kila mwaka CAG anawapa orodha ya wezi wametuliatu
 
Kwanza anaona ameongea kumbe ameropokatu. Hivi anajua kuna watu hawatumii simu? Wengine wanajaziwatu kifurushi ili laini zisifungiwe? Hajui kuna maeneo mtandao haujafika hivyo simu siohitaji lao?
Kila basi likatwe lakitano kwa mwezi kuchangia bima kwa wasio jiweza
 
Mjinga sana huyu! Kwa nini asipendekeze wao matajiri ndiyo walipe kodi kubwa zaidi?
 
Kwanza anaona ameongea kumbe ameropokatu. Hivi anajua kuna watu hawatumii simu? Wengine wanajaziwatu kifurushi ili laini zisifungiwe? Hajui kuna maeneo mtandao haujafika hivyo simu siohitaji lao?
Kila basi likatwe lakitano kwa mwezi kuchangia bima kwa wasio jiweza
 
Ubunifu Mdogo Sana .

Njia bora ya kupata HELA ni kupunguza matumizi ambayo sio ya lazima.

Simamia MADINI
Simamia GESI
Simamia UTALII

Punguza safari za anasa kwa top leaders n.k so the Chance are , ni kuhakikisha unapotoa hoja sio kumuumiza alie chini Bali kumuwekea uwiano sawa.
 
Lakini pa kuanzia ni Serikali kulipa deni lake kwa NHIF kwanza. Pesa hiyo hadi sasa haijarejeshwa na CAG anakumbusha kila mwaka katika ripoti yake.
 
Wazazi wake wanaweka bando la buku mbili ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…