Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

Serikali imekopa hela toka Mfukuo wa Bima wa Taifa,wafanyakazi wa mfuko huo nao wajimegea mabilioni kwa kiini macho cha kujikopesha sasa sisi walipa kodi ndiyo tuwalipie madeni hayo,hivi hawa watu wanatonaje sisi Watanganyika? Au upole wetu wanauchulia kuwa ni utaahira ?
 
J

MY TAKE:

huyu mbunge kwanza hana njaa! magari yake mpaka nauli Tsh 49,000 kutoka Dar kwenda dodoma yaan kila sku yeye anaingiza mamilioni ya hela

Anachukulia poa kuwakamua maskini ili wasaidie maskini wenzao!

yeye anapata mshahara 17Milioni kwa mwezi - Mwalimu anapata laki 3 kwa mwezi! halafu wote mkatwe kwenye simu

Namuombea afe mdomo wazi kama vile anafosi kutoa haja kubwa iliyokaza

Shabiby nimemwelewa na ninamuunga mkono
 
MY TAKE:

huyu mbunge kwanza hana njaa! magari yake mpaka nauli Tsh 49,000 kutoka Dar kwenda dodoma yaan kila sku yeye anaingiza mamilioni ya hela

Anachukulia poa kuwakamua maskini ili wasaidie maskini wenzao!

yeye anapata mshahara 17Milioni kwa mwezi - Mwalimu anapata laki 3 kwa mwezi! halafu wote mkatwe kwenye simu

Namuombea afe mdomo wazi kama vile anafosi kutoa haja kubwa iliyokaza

Kujificha kwenye kichaka Cha umaskini wakati unataka Huduma nzuri hospital unategemea utumie pesa za nani?
 
Serikali haishindwi kutenga fedha kwa ajili ya bima ya afya kwa wote na pia bima ya afya nao wanakusanya fedha nyingi sana tatizo la nchi hii ufisadi wa kutisha unaofanywa kwenye mfuko wa bima hata wananchi tukitoa 10000 kila mtu bado fedha haitatosha mwarobaini hapa ni KATIBA MPYA kila kitu kitakaa sawa
Takataka hii, Katiba Mpya na Ufisadi vinahusianaje? Nikutajie Nchi zinazoongoza Kwa Ufisadi na Zina Katiba Mpya? Huu upunguani nani kawakaririsha?
 
kimba la nyegere huyu labda mkate 2000 line za ttcl konyo kabisa huyu baada ya kuishauri serikali waiboreshe ttcl mnatamani fedha za wenzenu wakoloni wakubwa nyie
 
Simu zenyewe mnatumia kutongozea na kutazamia ngono wazo la mbunge ni zuri usipoumwa wewe ndugu yako ataumwa.
Achen negativity wabongo,wangapi wanakufa kwa kukosa matibabu kisa mia Tano.
 
Akili za wabunge wetu bwana! Ukweli huwa sijui wanamwakilisha raia wa nchi gani maana kutwa kucha ni kuungana na serikali kumkandamiza raia!
Hawawezi kuwa wabunifu kutafuta vyanzo vingine vya mapato kwa sababu wanakwepa uwajibikaji.

Vyanzo vya mapato vipo vingi sana ambavyo vinahitaji serikali iache kununua ma V8 pesa ziwekezwe zizalishe uchumi ukue na serikali isilazimike kuombaomba kwa raia wake kupitia kauli kama hizi za shabiby ambaye hawezi kusema kila ticket ya abiria wa mabasi yake ikatwe elfu 2 kuchangia mfuko wa bima ya afya!
 
Back
Top Bottom