Mbunge wa Geita Mjini anatia mashaka. Anataka kusema Musukuma ni muongo?

Swala hapo sidhani kama ni kupitishwa kihalali ama sio kihalali hata Msukuma naye hakusema kama hilo swala la kununua gari halikupitishwa kihahali. swala linakuja hivi hawa madiwani na Mkurugenzi wanapata wapi ujasiri wa kununua gar la hela yote hilo ile hali wanafunzi hawana madawat? ?
 





Ngoja tusubiri tuone, maana kama taratibu zote zilifanyika inawezekana kabisa kampuni ambayo ndio wauzaji waliamua kuwapa gari lenye bei kubwa ili wapate faida.
 
Kiuhalisia kwa nini saombe kununua gari ya million 400 wakati akijua wananchi wana mahitaji mengi sana na hiyo pesa ingepelekwa kwenye shida za wananchi kwa kiasi kikubwa ingetatua matatizo mengi ammeshaliwa kichwa nampongeza sana Mheshimiwa Rais kwa hatua aliyoichukua
 
Ccm hawana shukrani wamewatumia wakurungezi kuhujumu uchaguzi Leo wanaanza kuwafukuza
 
Mbunge mwenyewe anajua kusoma vizuri au amesomewa?
 
Mkurugenzi hajatendewa haki. Kama kweli wanamaanisha kupambana na uzembe wa kwanza kuondolewa alipaswa kuwa Majaliwa akifuatiwa na Jaffo.

Ofisi zao ndizo zilizobariki manunuzi ya gari hilo.
Jaffo ofisi yake ipo wapi? Alishaondolewa toka ofisi ya WM kitambo sasa.
 
Ni wendawazimu kutumia mil. 460 kununua gari ya kutembelea DED hata ikiwa umefuata taratibu za dunia nzima. Panaweza pasiwe na ubadhirifu ila pana utashi mdogo sana, almost zero.
 
Je ina maana Mbunge wa Geita vijijini ni muongo? Anaropoka hovyo na kumdangany
Hoja ya serikali ni kuwa halmashauri haikupaswa kununua gari la bei hiyo: pm amefafanua kuwa mwongozo haukufuatwa, mbunge anaweza kumtetea mkirugenzi kwakuwa ndiye alikuwa returning officer wa uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…