Mbunge wa Geita Mjini anatia mashaka. Anataka kusema Musukuma ni muongo?

Kosa n kununua Gar ambalo c size ya office yake,alitakiwa kununua Prado Gx au Land cruiser
 
Unajua hata mimi huyu kanyasu cjamuelewa kabisa!,
Hivi mwizi wakishirikiana na police kuiba itakuwa ni halali???

Kifupi msukuma yupo sawa! Haijarishi ofice ya waziri mkuu au madiwani wameridhia, issue nikwamba yeye mkurugenzi alianzaje kuomba gari ya 400ml. Wakati akijua hairuhusiwi???
Sema kanyasu alishausoma mchezo, nahasa baada yakuachwa ktk baraza la mawazili. Hivyo anajua anaenda awam ya mwisho hivyo mbwai naiwe mbwa! Maana najua anachotete hakina mashiko kwakuwa mpaka Rais alishalitolea maelekezo, hivyo yeye kanyasu kuzidi kuliongelea nikama hakuridhika na maamuzi ya mh. Rais.
 
Nimemsikiliza mbunge wa Geita mjini ndugu Costantine Kanyasu kwa kweli anashangaza sana. Nini kimemfanya akurupuke kuanza kutoa maoni kama haya kabla ya uchunguzi?

Nilimsikiliza waziri Jaffo alipopewa kazi yake ya kwanza kuunda tume kuchunguza ubadhilifu halimashauri ya Geita,alisema pesa mil 400 zilizotumika hazikupitishwa na baraza la madiwani.

Nashangaa nimemsikiliza mbunge wa Geita anaongea na media na kudai kuwa amepitia document hapo halmashauri na amebaini kuwa pesa hizo zilipitishwa na baraza la madiwani,pia anasisitiza Gpsa walitumiwa kununua hilo gari la mil 400,kwa hiyo taratibu zote zilifuatwa maana Gpsa ndie wakala wa manunuzi wa serikali.

Mbali na hayo anasema mkurugenzi aliyesimamishwa ni muadilifu na amekuwa akipambana na ufisadi kwa muda mrefu. Je ina maana Mbunge wa Geita vijijini ni muongo? Anaropoka hovyo na kumdanganya rais,maana huyu ndie aliyemlipua mkurugenzi kuwa alifanya ubadhirifu wa mil 400.
Ukweli utabaini.
Uchunguzi ufanyike.
 
Kama anakosa la kuomba kibali ambacho ni juu ya uwezo wake kwa nini Gpsa walinunua? Kwa nini PM alitoa kibali? Kwa nini ujenzi watoe spicifications?
Wewe Inaonesha hujawahi kuwa kiongozi! Nakueleza anawajibika kwa kuomba kibali kilicho juu ya stahili yake!
 
Nimemsikiliza mbunge wa Geita mjini ndugu Costantine Kanyasu kwa kweli anashangaza sana. Nini kimemfanya akurupuke kuanza kutoa maoni kama haya kabla ya uchunguzi?

Nilimsikiliza waziri Jaffo alipopewa kazi yake ya kwanza kuunda tume kuchunguza ubadhilifu halimashauri ya Geita,alisema pesa mil 400 zilizotumika hazikupitishwa na baraza la madiwani.

Nashangaa nimemsikiliza mbunge wa Geita anaongea na media na kudai kuwa amepitia document hapo halmashauri na amebaini kuwa pesa hizo zilipitishwa na baraza la madiwani,pia anasisitiza Gpsa walitumiwa kununua hilo gari la mil 400,kwa hiyo taratibu zote zilifuatwa maana Gpsa ndie wakala wa manunuzi wa serikali.

Mbali na hayo anasema mkurugenzi aliyesimamishwa ni muadilifu na amekuwa akipambana na ufisadi kwa muda mrefu. Je ina maana Mbunge wa Geita vijijini ni muongo? Anaropoka hovyo na kumdanganya rais,maana huyu ndie aliyemlipua mkurugenzi kuwa alifanya ubadhirifu wa mil 400.
Sasa Mtu asiseme ukweli? Jafo na Ofisi ya Waziri Mkuu wasijifanye leo hawakutoa ruhusa gari kununuliwa
 
We kamanda uchwara una uhakika gani Kanyasu anasema ukweli? Au ubongo umejaa mabumunda? Kila mtu yupo njia panda hapa tunasubiria tume.
 
Wewe ni panya mabaka..msukuma ana hoja na kanyasu ana hoja..kama mkurugenzi anasema alifata utaratibu ww kinakuuma nn
 
Nimemsikiliza mbunge wa Geita mjini ndugu Costantine Kanyasu kwa kweli anashangaza sana. Nini kimemfanya akurupuke kuanza kutoa maoni kama haya kabla ya uchunguzi?

Nilimsikiliza waziri Jaffo alipopewa kazi yake ya kwanza kuunda tume kuchunguza ubadhilifu halimashauri ya Geita,alisema pesa mil 400 zilizotumika hazikupitishwa na baraza la madiwani.

Nashangaa nimemsikiliza mbunge wa Geita anaongea na media na kudai kuwa amepitia document hapo halmashauri na amebaini kuwa pesa hizo zilipitishwa na baraza la madiwani,pia anasisitiza Gpsa walitumiwa kununua hilo gari la mil 400,kwa hiyo taratibu zote zilifuatwa maana Gpsa ndie wakala wa manunuzi wa serikali.

Mbali na hayo anasema mkurugenzi aliyesimamishwa ni muadilifu na amekuwa akipambana na ufisadi kwa muda mrefu. Je ina maana Mbunge wa Geita vijijini ni muongo? Anaropoka hovyo na kumdanganya rais,maana huyu ndie aliyemlipua mkurugenzi kuwa alifanya ubadhirifu wa mil 400.
Mbunge wa geita mhini yuko right na hana kosa lolote lilw ni upumbavu wa std 7 musukuma ndio kazua balaa hili
 
Wacha akome huyo mkurugenzi si ndio aliwaaambia kura hayo mashetani mabazazi majizi wacha alie kilio cha mbwa kwanza wanatuchoresha tuu ujinga wamewekwa ndani watu kwa kezi za uhujumu uchumi ye anakula upepo eti anangoja uchunguzi cha
 
Unajua hata mimi huyu kanyasu cjamuelewa kabisa!,
Hivi mwizi wakishirikiana na police kuiba itakuwa ni halali???

Kifupi msukuma yupo sawa! Haijarishi ofice ya waziri mkuu au madiwani wameridhia, issue nikwamba yeye mkurugenzi alianzaje kuomba gari ya 400ml. Wakati akijua hairuhusiwi???
Sema kanyasu alishausoma mchezo, nahasa baada yakuachwa ktk baraza la mawazili. Hivyo anajua anaenda awam ya mwisho hivyo mbwai naiwe mbwa! Maana najua anachotete hakina mashiko kwakuwa mpaka Rais alishalitolea maelekezo, hivyo yeye kanyasu kuzidi kuliongelea nikama hakuridhika na maamuzi ya mh. Rais.

Naona hayo maneno siyo yake.Kapewa motisha wa kusema hayo aliyosema.
Asichojua ni kwamba kwa tabia ya JPM ndiyo anazidi kumharibia huyo Mkurugenzi.
 
Ha ha ha ha!! Hiyo nikweli, atakuwa kanyasu alitumiwa kuwashawishi madiwani baadhi wapate hela za kampeni!! Usikute wengi wao walirudi.
 
Back
Top Bottom