Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok,fine mbunge wa jimbo kwenye wilaya sio mjumbe wa council?Wakati huo alikuwa ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa GEITA
Ukweli utabaini.Nimemsikiliza mbunge wa Geita mjini ndugu Costantine Kanyasu kwa kweli anashangaza sana. Nini kimemfanya akurupuke kuanza kutoa maoni kama haya kabla ya uchunguzi?
Nilimsikiliza waziri Jaffo alipopewa kazi yake ya kwanza kuunda tume kuchunguza ubadhilifu halimashauri ya Geita,alisema pesa mil 400 zilizotumika hazikupitishwa na baraza la madiwani.
Nashangaa nimemsikiliza mbunge wa Geita anaongea na media na kudai kuwa amepitia document hapo halmashauri na amebaini kuwa pesa hizo zilipitishwa na baraza la madiwani,pia anasisitiza Gpsa walitumiwa kununua hilo gari la mil 400,kwa hiyo taratibu zote zilifuatwa maana Gpsa ndie wakala wa manunuzi wa serikali.
Mbali na hayo anasema mkurugenzi aliyesimamishwa ni muadilifu na amekuwa akipambana na ufisadi kwa muda mrefu. Je ina maana Mbunge wa Geita vijijini ni muongo? Anaropoka hovyo na kumdanganya rais,maana huyu ndie aliyemlipua mkurugenzi kuwa alifanya ubadhirifu wa mil 400.
Ok,fine mbunge wa jimbo kwenye wilaya sio mjumbe wa council?
Wewe Inaonesha hujawahi kuwa kiongozi! Nakueleza anawajibika kwa kuomba kibali kilicho juu ya stahili yake!Kama anakosa la kuomba kibali ambacho ni juu ya uwezo wake kwa nini Gpsa walinunua? Kwa nini PM alitoa kibali? Kwa nini ujenzi watoe spicifications?
Sasa Mtu asiseme ukweli? Jafo na Ofisi ya Waziri Mkuu wasijifanye leo hawakutoa ruhusa gari kununuliwaNimemsikiliza mbunge wa Geita mjini ndugu Costantine Kanyasu kwa kweli anashangaza sana. Nini kimemfanya akurupuke kuanza kutoa maoni kama haya kabla ya uchunguzi?
Nilimsikiliza waziri Jaffo alipopewa kazi yake ya kwanza kuunda tume kuchunguza ubadhilifu halimashauri ya Geita,alisema pesa mil 400 zilizotumika hazikupitishwa na baraza la madiwani.
Nashangaa nimemsikiliza mbunge wa Geita anaongea na media na kudai kuwa amepitia document hapo halmashauri na amebaini kuwa pesa hizo zilipitishwa na baraza la madiwani,pia anasisitiza Gpsa walitumiwa kununua hilo gari la mil 400,kwa hiyo taratibu zote zilifuatwa maana Gpsa ndie wakala wa manunuzi wa serikali.
Mbali na hayo anasema mkurugenzi aliyesimamishwa ni muadilifu na amekuwa akipambana na ufisadi kwa muda mrefu. Je ina maana Mbunge wa Geita vijijini ni muongo? Anaropoka hovyo na kumdanganya rais,maana huyu ndie aliyemlipua mkurugenzi kuwa alifanya ubadhirifu wa mil 400.
We kamanda uchwara una uhakika gani Kanyasu anasema ukweli? Au ubongo umejaa mabumunda? Kila mtu yupo njia panda hapa tunasubiria tume.Sasa Mtu asiseme ukweli? Jafo na Ofisi ya Waziri Mkuu wasijifanye leo hawakutoa ruhusa gari kununuliwa
Wewe ni mende wa chooni,nani kakuambia udandie mada za wanaume?Wewe ni panya mabaka..msukuma ana hoja na kanyasu ana hoja..kama mkurugenzi anasema alifata utaratibu ww kinakuuma nn
Mbunge wa geita mhini yuko right na hana kosa lolote lilw ni upumbavu wa std 7 musukuma ndio kazua balaa hiliNimemsikiliza mbunge wa Geita mjini ndugu Costantine Kanyasu kwa kweli anashangaza sana. Nini kimemfanya akurupuke kuanza kutoa maoni kama haya kabla ya uchunguzi?
Nilimsikiliza waziri Jaffo alipopewa kazi yake ya kwanza kuunda tume kuchunguza ubadhilifu halimashauri ya Geita,alisema pesa mil 400 zilizotumika hazikupitishwa na baraza la madiwani.
Nashangaa nimemsikiliza mbunge wa Geita anaongea na media na kudai kuwa amepitia document hapo halmashauri na amebaini kuwa pesa hizo zilipitishwa na baraza la madiwani,pia anasisitiza Gpsa walitumiwa kununua hilo gari la mil 400,kwa hiyo taratibu zote zilifuatwa maana Gpsa ndie wakala wa manunuzi wa serikali.
Mbali na hayo anasema mkurugenzi aliyesimamishwa ni muadilifu na amekuwa akipambana na ufisadi kwa muda mrefu. Je ina maana Mbunge wa Geita vijijini ni muongo? Anaropoka hovyo na kumdanganya rais,maana huyu ndie aliyemlipua mkurugenzi kuwa alifanya ubadhirifu wa mil 400.
FoolishWe kamanda uchwara una uhakika gani Kanyasu anasema ukweli? Au ubongo umejaa mabumunda? Kila mtu yupo njia panda hapa tunasubiria tume.
😅😁😅Foolish
Wacha wamkomeshe yote majizi tu wamezidiana kwenye mgaoKiukweli hapa inaonekana mkurugenzi katolewa kafara kwa lengo la kuwalinda akina Jaffo na Majaliwa
Unajua hata mimi huyu kanyasu cjamuelewa kabisa!,
Hivi mwizi wakishirikiana na police kuiba itakuwa ni halali???
Kifupi msukuma yupo sawa! Haijarishi ofice ya waziri mkuu au madiwani wameridhia, issue nikwamba yeye mkurugenzi alianzaje kuomba gari ya 400ml. Wakati akijua hairuhusiwi???
Sema kanyasu alishausoma mchezo, nahasa baada yakuachwa ktk baraza la mawazili. Hivyo anajua anaenda awam ya mwisho hivyo mbwai naiwe mbwa! Maana najua anachotete hakina mashiko kwakuwa mpaka Rais alishalitolea maelekezo, hivyo yeye kanyasu kuzidi kuliongelea nikama hakuridhika na maamuzi ya mh. Rais.
Naona hayo maneno siyo yake.Kapewa motisha wa kusema hayo aliyosema.
Asichojua ni kwamba kwa tabia ya JPM ndiyo anazidi kumharibia huyo Mkurugenzi.
Hivi Mbunge anaweza kutumbuliwa?