Mbunge wa Geita Mjini anatia mashaka. Anataka kusema Musukuma ni muongo?

Sawa.
 

Mpaka sasa najiuliza maana serekali kwa ujumla uwezi kufanya manunuzi bila kupitia azina na azina kupokea baraka zote alafu kesho useme limenunuliwa tu bila kupitishwa.
 
Huyo mbunge ajichunge saana, hata kama walifuata utaratibu halali, je kuna meantiki gani mkurugenzi kutaka kutumia gari la ghalama kwa kiwango cha waziri wakati halimashauli yake shida hazijaisha?
Huyo niniiongozi anayejijari zaidi ya wananchi,
Je alikosa gari la milioni 150 mpaka anunue la 400? Na ni wakurugenzi wangapi wana magari hayo? Kanyansu ajichunge pia isijekuwa nae ana hisa humo kwenye milioni 400
 
Huyo mkurugenzi akapumzike, hamna namna.. sijaona mtu anayeweza kupimana nguvu na joseph kasheku Msukuma.
 
Baraza la madiwani lilipitisha pesa kama taraibu zinavyotaka, Gpsa walitoa specifications na bei,kisha wakanunua gari kwa kibali cha waziri mkuu.
 
Navyoelewa issue sio kununua gari la gharama kubwa bali issue ni kufanya matumizi ya anasa wakati kuna mamvo ya msingi kama upungufu wa madarasa na madawati haukutengewa pesa za kutosha ndio maana walishangaa kwanini anakimbilia kununua gari kwa gharama kubwa wakati matatizo ya msingi hayajatatuliwa
 
Ishu ni kupina nguvu au ukweli? Akapumzike hata kama hakufanya kosa?
yawezekana wewe ndo huyo mkurugenzi,sasa kwa taarifa yako, huwezi kujinunulia gari la m460 wakati Rais anatembelea v8 ya m200 pekee, who are u by the way?? Kwanini wew nasio wakurugenzi wengine?? Wewe ni special sana au??
Kalale uko,kama vipi tubu
 
Baraza la madiwani lilipitisha pesa kama taraibu zinavyotaka, Gpsa walitoa specifications na bei,kisha wakanunua gari kwa kibali cha waziri mkuu.
Narudia hata kama kibali.kilitoka kwa nini anunue gari la bei kubwa hilo kwa ajiri ya nini na yeye ni mkurugenzi tu?
Je geita shida zimeisha, hiyo gari itaongeza ufanisi gani hapo geita kwa kutatua shida za wanainchi?
 
Hili ndo jambo la msingi,,hata kama baraza limepitisha,,hakukuwa na ulazima wa kununua gari la 400 mil.kwa matumizi ya mkurugenzi wa halmashauri,,waliopitisha wamekosa uzalendo.
 
Baraza la madiwani ndio linapaswa kumuelekeza mkurugenzi mahitaji ya halmashauri. Kama madawati,zahanati madarasa yanahitajika walipaswa wasipitishe pesa za kununua gari.
 
Msitumbue myamalize wenyewe kwenye vikao vyenu! 5 tena!
 
Ninachokiona mara nyingi kikitokea na watendaji wa chini kumshauri vibaya kiongozi mwenye dhamana ya kufanya maamuzi,,hivyo ukiwa kiongozi inatakiwa kuwa makini ukiona watendaji wa chini wanakumislead usikubali.Mkurugenzi makini na mzalendo hawezi kuruhusu hili lipite mikononi mwake,,
 
Mkurugenzi anaponunua gari la mil 400 ni la kwake? Ni halmashuri gani ambayo haina Vx la mil 400 la mkurugenzi?
 
Rais na hata Msukuma hawakusema taratibu hazikufuatwa.Tatizo ni kununua gari kubwa na la gharama kubwa wakati kuna changamoto za ukosefu wa madawati,madarasa,zahanati nk.
Halmashauri yenyewe ni ndogo sana kwa eneo kiasi cha kuweza kutembelea kwa miguu na kuimaliza kwa siku moja.Ilikuwa inatosha kununua gari hata la bei ya chini ya milioni 70 na pesa zingine zitumiwe kwenye huduma zingine.
 
Msukuma ni mbunge mpumbavu, anachonganisha watu! Yeye ni nani mpaka akadandie hoja za Geita mji wakati yeye yuko vijijini? Ina maana Mh. Kanyasu hana uwezo wa kusimamia matumizi ya fedha za umma kwenye jimbo lake mpaka apate msaada kutoka kwa Msukuma? Kwa ufupi Msukuma anatafuta sifa za kijingaaaa!
 
Ok nini maana ya kuunda tume? Angetengua tu ukurugenzi wake. Ni halmashuri gani Mkurugenzi hana Vx?
 
Mbunge wa Geita mjini ni Kanyasu huyo Msukuma anajitia kimbelembele tu. Wala haingii kwenye vikao vya Halmaahauri ya Geita mji. Kwa hiyo Kanyasu asilaumiwe maana yeye ndiyo mwenye Jimbo hilo.
 
Ofcoz ni mali ya halmashauri husika,,,,lakini hoja ya msingi ni kwamba matumizi ya fedha nyingi wakati kuna uwezekano wa kununu gari hata la 200 mili.na fedha nyingine ingesaidia masuala mengine ya kijamii,,kama elimu au afya.

Kuhusu halmshauri nyinginezo sina hakika kama wanatumia gari zenye thamani hiyo,,maana wa kwetu huku niliko anatumia hilux double cabin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…