macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hata kama hawezi kujiamulia mambo. Kitendo cha kupeleka pendekezo la kununua gari la kutembelea lenye thamani ya mil 400 kwenye nchi yenye ufukara kama Tanzania kinaonyesha hafai kuwa kiongozi. Uongozi ni pamoja na kuwa na busara ya kutotumia gharama fedha za umma bila ulazima hata kama taratibu zinaruhusu. Labda tuseme kinachotakiwa kufanywa ni huyo mkurugenzi kuondolewa mara moja pamoja na wote waliopitisha huo mchakato.Kwenye huu mjadala twendeni tu taratibu mkuu tusitukanane,, mimi niko upande wa DED na Mh. Kanyasu. DED hawezi kujiamulia mambo makubwa hivyo bila baraka za Full council, RAS, PM n.k ila hao wote kwa kumwogopa Magu... hawatafunua makopo yao kumtetea DED. Wamrudishe kazini aisee!