Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Likamilike gani mkuu tayari kule Nzera sasa kuna watumishi? Na DED yupo kabisa! Juzi tu Msukuma mwenyewe kafanya ziara ya kushtukiza maana kama watumishi walikuwa wameweka kamgomo fulani hivi ka kuhamia huko! Msukuma anafanyakazi kwa mihemko na hapo ataanzisha ugomvi na Mh. Kanyasu usiokuwa na mwisho!Mpaka likamilike bro,sasa tunajadili kilichopo mezani,ndio maana amemlipua mkurugenzi.