Mbunge wa Geita Vijijini atunukiwa Udaktari wa heshima, sasa kuitwa Dkt. Joseph Kasheku

Unahakika na kindi uliloliweka pamoja, mbona sijamwona Leprofeser mzee wa buguruni🤔.
😄😄😄 Samahani mkuu,huyo uliyemtaja ndio mkuu wa wote wale niliowataja.

Prof huyu wkt wa mgogoro wa kugombea ofisi za chama chake na Maalim,ilifikia hatua prof. akawa analala hapohapo ofisini na kuogea humo humo akiogopa wajuba watasepa na ofisi za hapo buguruni.
 
Wanadhaliisha elimu za watu na maana nzma ya honorary degree.

Hata Kikwete si nae anayo kwanini Msukuma asipewe? Madhara ya kuishushia elimu heshima ni kubwa sana long term kwa nchi;. halafu mnastaajabu watoto wakigoma kwenda shule na badala yake wanakwenda kuchimba dhahabu migodini!!!
 
Hongera sana Ndg Msukuma. Japo kiuhalali sidhani kama hata certificate unge graduate.
 
Degree moja ni ukilaza! Sasa hivi first degree ni sawa na darasa la 7 la mwaka 1970. Soma kijana
Mchina anaekutengenezea barabara na madaraja hana hata hiyo degree moja...huu mfumo wa kukaa sana vyuon na kujiita prof au dk au eng..ni bogas, amkeni bongo lala
 
Mchina anaekutengenezea barabara na madaraja hana hata hiyo degree moja...huu mfumo wa kukaa sana vyuon na kujiita prof au dk au eng..ni bogas, amkeni bongo lala
Kumbe wewe hujui maana ya elimu! Acha ukilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…