Sawa uko sahihiKumbe wewe hujui maana ya elimu! Acha ukilaza
Keshapata. Unataka nini?
KK Mbili Anazo HuyoHuyu jamaa Hivi anajua kusoma Na kuandika?
Ila si anaitwa daktari ama..halafu kutunukiwa manake umefanya mkubwa.Rekebisha sio Phd bali ni udaktari wa heshima. Phd ni lazima uandike andiko la kiutafiti ulitete mbele ya maprofesa kulingana na vigezo vya nadharia ulizotumia lipite ndio upate PhD. Kifupi PhD lazima uisomee,udaktari wa heshima unatunukiwa na chuo kikuu kinachotambulika duniani kulingana na kazi fulani ulioifanya kwa jamii ikakupa heshima
HaaHicho chuo kinajulikana dodoma tuu
Utakua kabudi wewe sio bure..mana sio kwa povu hili..pole sana.Tafuta yako na wewe uone ugumu wake
Pesa tu..wewe unadhani kipi zaidi ya hicho.Vigezo vya kupewa vilikuwa /vinakuwa vipi?
Hiko chuo kimejiharibia big time. Hivi kweli Msukuma ni wa kumpa digrii ya heshima? Kwa jambo lipi alilolifanya kwenye siasa? Vyuo vingine ni vya kipumbavu sana.Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.” https://t.co/Xq4n4BrSAl
View attachment 2033988
Wanadhaliisha elimu za watu na maana nzma ya honorary degree.
Nawewe ongeza elimu Acha kubweteka. Muda unaokaa hapa JF unafaa kuongeza elimu. Sisi tushafika no class aheadUtakua kabudi wewe sio bure..mana sio kwa povu hili..pole sana.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Dk. Musukuma yuko vizuri sana kuliko hao uliowataja!Ni sawa tu,kwani huyo Musukuma ana tofauti gani na Dr. Bashiru,Prof. Kabudi,Dr. Bana.
Wote akili zao zinafanana kwa 100%.