Mbunge wa Geita Vijijini atunukiwa Udaktari wa heshima, sasa kuitwa Dkt. Joseph Kasheku


Hicho chuo ni confrimed fake na kazi yake ni kuuzia watu sampuli ya Msukuma fake honorary degrees

Rejea hizi links.



 
Dkt. Mary Mwanjelwa...mama mtoa rushwa hawezi kumsahau Tulia.
 
Mmeanza
 
ANAANDIKA BABA ASKOFU BAGONZA

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa nimejua. Siku za karibuni Kuna mtu aliniita kutokea Arusha akaniambia jina langu limependekezwa ili nipewe udaktari wa heshima kwa sababu (akataja nyingi). Kisha akasema zinatakiwa dola 500 haraka sana na deadline ni siku ya pili yake. Akataja chuo hikihiki.

Nikamwambia hiyo hela Sina. Akasema basi leta dola 210 kwa punguzo maalum.

Nikamwambia kwa Sasa Kuna vyuo vikuu 3 humu duniani vinaniomba nipokee udaktari wa heshima kutoka kwao lakini itaambatana na cheki ya dola elfu kumi kwangu. Nikamwambia bado nasita kwa sababu walizonitajia kuwa ninazo bado nina mashaka nazo kama ninazo kweli. Tukaachana hivo.

Kumbe wakapatikana kina Msukuma?!
 
Nawewe ongeza elimu Acha kubweteka. Muda unaokaa hapa JF unafaa kuongeza elimu. Sisi tushafika no class ahead
Hiyo elimu imetusiadia nini watanzania na zile covidol zako za Madagascar mnafiki wewe..mchumia tumbo..sina haja na elimu ya tz ya kinafiki..bora niendelee kusaka pesa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo bhana, hawaelewi hata umhimu wa elimu.

Kama kipimo cha elimu ni kufanikiwa(kuwa na pesa) katika maisha.

kama wazazi wanavyotarajia pindi wanapowapeleka watoto wao shule basi msukuma anastahili phd.

Tuacheni janja janja elimu ni mafanikio katika maisha sio zaidi(kukalili vitini kama flan)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…