Musukuma anawazidi kwa mbali madokta na maprofesa kwa mengi km uthubutu,pesa, na michango yake ya maana bungeni.Ni sawa tu,kwani huyo Musukuma ana tofauti gani na Dr. Bashiru,Prof. Kabudi,Dr. Bana.
Wote akili zao zinafanana kwa 100%.
Hawezi kutumia hiyo title mpaka TCU wajiridhishe kama hicho chuo kinatambulika na kimesajiliwa na mamlaka husika.Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.” https://t.co/Xq4n4BrSAl
View attachment 2033988
Wasukuma mna mambo sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.” https://t.co/Xq4n4BrSAl
View attachment 2033988
Siyo makalio ila mtwangio wangu ndiyo unawasha nifanyie ihsani ya kinu chako,tafadhali nistiri.Makalio yanakuwasha.
Huyu Askofu ana wivu sana anawaonea wivu akina msukuma kupata udaktari.ANAANDIKA BABA ASKOFU BAGONZA
😂😂😂😂😂😂
Sasa nimejua. Siku za karibuni Kuna mtu aliniita kutokea Arusha akaniambia jina langu limependekezwa ili nipewe udaktari wa heshima kwa sababu (akataja nyingi). Kisha akasema zinatakiwa dola 500 haraka sana na deadline ni siku ya pili yake. Akataja chuo hikihiki.
Nikamwambia hiyo hela Sina. Akasema basi leta dola 210 kwa punguzo maalum.
Nikamwambia kwa Sasa Kuna vyuo vikuu 3 humu duniani vinaniomba nipokee udaktari wa heshima kutoka kwao lakini itaambatana na cheki ya dola elfu kumi kwangu. Nikamwambia bado nasita kwa sababu walizonitajia kuwa ninazo bado nina mashaka nazo kama ninazo kweli. Tukaachana hivo.
Kumbe wakapatikana kina Msukuma?!
TCU njooni huku kuna mtuhumiwa wenu.Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.”
View attachment 2033988
Mkuu umeonyesha uhalisia wa utanzania wako.Vyuo vikuu vinafanya ujinga ktk elimu. Msukuma ni wa kumpa Honorary Doctorate kweli??
Kumbe ndiyo maana hakanenepi haka!!ANAANDIKA BABA ASKOFU BAGONZA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nimejua. Siku za karibuni Kuna mtu aliniita kutokea Arusha akaniambia jina langu limependekezwa ili nipewe udaktari wa heshima kwa sababu (akataja nyingi). Kisha akasema zinatakiwa dola 500 haraka sana na deadline ni siku ya pili yake. Akataja chuo hikihiki.
Nikamwambia hiyo hela Sina. Akasema basi leta dola 210 kwa punguzo maalum.
Nikamwambia kwa Sasa Kuna vyuo vikuu 3 humu duniani vinaniomba nipokee udaktari wa heshima kutoka kwao lakini itaambatana na cheki ya dola elfu kumi kwangu. Nikamwambia bado nasita kwa sababu walizonitajia kuwa ninazo bado nina mashaka nazo kama ninazo kweli. Tukaachana hivo.
Kumbe wakapatikana kina Msukuma?!
Nani anawaabudu UDOM chuo kikuu kisicho na sifa bali kinachoendeshwa kisiasa.tena na watu mnaowaabudu
Si ni huyu bwana aliyekuwa anadharau wasomi bungeni.... Kumbe anaupenda usomi ingawa ulimshinda....!!Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.”
View attachment 2033988
Hao jamaa wa chuo cha USA wamepotoshwa na maprofesa feki wa UDOM ambao ndiyo wametoa mapendekezo feki wakati wakijibu madokezo yaliyoletwa na hao USA.PhD za kujifukiza hizo zinatolewa kimichongo....elimu inabakwa mchana kweupeeee
Aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.”
View attachment 2033988
Kumbe UDOM wanahusika husika!Hao jamaa wa chuo cha USA wamepotoshwa na maprofesa feki wa UDOM ambao ndiyo wametoa mapendekezo feki wakati wakijibu madokezo yaliyoletwa na hao USA.
Ujinga kabisa
Sqna tu. Madokezo ya hawa Global USA yalisambazwa vyuo vingi tu hapa nchini. Cha ajabu UDOM ndiyo wakajipendekeza kwa msukumaKumbe UDOM wanahusika husika!