Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

kurlzawa,
Madelu anajulikana dhahiri kwa"Michezo" yake, a.k.a "The Mastermind", mtafute Alfred Rwakatare atakuelezea hili. Au refers to matukio mbalimbali huyu bwana akihudumu pale Internal Affairs, kipind hicho "The Unknowns" wako kwenye Peak.

Kumuweka nje ya ulingo kuelekea October 2020 ilikua ni sawa na kumuweka Messi nje huku El Classico ile yenye CR7 iko njiani.

Kama asingerudishwa kwa Mgongo huu wa "Kufa Kufaana" basi angerudishwa kivingine tu, lilikua suala la muda tu.
 
Hayafuti sababu yapo kimkakati, pale atakuwa anafuta namba za mwishoni tu na kuweka mwaka wa uchaguzi kwa mfano mwaka huu ataifuta 15 kisha ataweka 20 na kusomeka 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana hujasafiri siku nyingi kupitia njia hiyo iliyokuwa na hayo mawe. Siku hizi hakuna jiwe lenye maandishi ya Mwigulu tena chief. Mawe yanang'aaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema mtapasuka kwa wivu

Na nape akirejea mfe kabisa
 
Dah, yaani ccm wanafanya tuone siasa ni ngumu kweli!!
 
Jamani ujumbe hapa tuwe tunajali familia zetu. Maana hizi kazi siku tukifa mwajiri fasta anatu replace lkn familia haitapata replacement yako kamwe. Let's put our family first before our jobs.
 
Baada ya kusema Serikali iachane na kutoa takwimu za Corona maana ni kama mashindano ma mataifa mengine....basi hii ndiyo single iliyomtoa jamaa shimoni...
Kumbe kuongeongea hovyo muda nyingine kunalipa.
 
Jamani ujumbe hapa tuwe tunajali familia zetu. Maana hizi kazi siku tukifa mwajiri fasta anatu replace lkn familia haitapata replacement yako kamwe. Let's put our family first before our jobs.
Hii kauli inachoma Kama chuma kweny jeraha la Moto yaan kwa jinsi navyo pambana kazini waajili wananisifu na wananijali Sana....
Ila ikitokea vice versa watafanya replacement Tena fastaa
Huwa Sina muda na familia hata my wife huwa ana niambia kuwa Hizi kazi zipo tu....
 
Sana aisee. Mwenyewe inanihusu. Nataka niji adjust kidogo. Angalau familia nayo niwe nayo na spend nayo time ya kutosha.
 
Sana aisee. Mwenyewe inanihusu. Nataka niji adjust kidogo. Angalau familia nayo niwe nayo na spend nayo time ya kutosha.
Nikujidanganya kua bila wewe au Mimi ofisi au taasisi haita songa MBELE au itakufa..... Ina bidi tu keep in mind...
EVERY ONE CAN BE REPLACED.....
 
Ingekuwa tunaenda msibani, hata kuteua tungekua na utu wa kusubiria kidogo...haraka ya nini hata hatujazika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni katika kufidia gap iliyotokana na shock ya Corona. Ni kwamba watu wapo maofisini wanafanya kazi lakini kiuhalisia utendaji umeshuka kutokana na hii enteference ye Corona. Kwa hiyo nafasi inapokuwa wazi hasa hizi za juu, haitakiwi yapite masaa 24 ikiwa bado haijajazwa. Ulimsikia Rais alichomuagiza akafanye baada ya kuapishwa? Mojawapo ni kwamba kuna sample ya Diesel ime-test positive, ina Covid-19, na hili ni mojawapo tu kati ya mengi.
 
Ina maana hakuna alieweza kukava hiyo nafasi zaidi ya Nchemba?
Yaani bora nchemba angepewa michezo na sanaa makyembe ndio apewe sheria na katiba
Hata mimi mwanzoni nilifikiria hivyo, ila kwa upande mwingine Mwakyembe alishafanya kazi kubwa muno, na umri wake unaenda inabidi apumzike, ana kiahueni kidogo kwenye wizara ya michezo, panamtosha hapo kwa sasa kuendele kupata mapumziko angalau kidogo. Hizi Wizara nzito nzito inabidi sasa vijana wa 30-50 nao wabebe mzigo, zamu yao ilishafika. Mimi ninatarajia kwenye baraza lijalo hawa ndiyo wanatakiwa wachukue asilima 99 ya nafasi zote za mawaziri. Tatizo huwa tunachukulia cheo kama ulaji, ila ukichukulia kama kazi na ni mzigo, vijana sasa ni zamu yao. Wote watakaoingia Bungeni wenye umri 30-50 ndiyo inabidi wachukue Wizara, mambo yakienda kombo wasije wakaanza kulalalmika kuwa wazee tumesababisha matatizo, hapana. Sisi tunatakiwa kuwa pembeni tunawaangalia wanafanyaje kututoa hapa tulipo
 
Back
Top Bottom