Inaonekana hujasafiri siku nyingi kupitia njia hiyo iliyokuwa na hayo mawe. Siku hizi hakuna jiwe lenye maandishi ya Mwigulu tena chief. Mawe yanang'aaaHayafuti sababu yapo kimkakati, pale atakuwa anafuta namba za mwishoni tu na kuweka mwaka wa uchaguzi kwa mfano mwaka huu ataifuta 15 kisha ataweka 20 na kusomeka 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wake wanampango wa kwenda kuya edit kwa matumizi ya 2025kisheria akafute yale mawe ya mwigulu rais 2015-
nchi inaye rais mmoja tu
Mzee wa ubelgijiUkitoa yeye nani anafaa pale kitokea upinzani? Hamna!
Hii kauli inachoma Kama chuma kweny jeraha la Moto yaan kwa jinsi navyo pambana kazini waajili wananisifu na wananijali Sana....Jamani ujumbe hapa tuwe tunajali familia zetu. Maana hizi kazi siku tukifa mwajiri fasta anatu replace lkn familia haitapata replacement yako kamwe. Let's put our family first before our jobs.
Hana sifa za kugombea urais.
Sana aisee. Mwenyewe inanihusu. Nataka niji adjust kidogo. Angalau familia nayo niwe nayo na spend nayo time ya kutosha.Hii kauli inachoma Kama chuma kweny jeraha la Moto yaan kwa jinsi navyo pambana kazini waajili wananisifu na wananijali Sana....
Ila ikitokea vice versa watafanya replacement Tena fastaa
Huwa Sina muda na familia hata my wife huwa ana niambia kuwa Hizi kazi zipo tu....
mwenye nguvu ndo atashindaKitila vs Mwigulu kule iramba itakuwaje aisee maana nguvu imerudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikujidanganya kua bila wewe au Mimi ofisi au taasisi haita songa MBELE au itakufa..... Ina bidi tu keep in mind...Sana aisee. Mwenyewe inanihusu. Nataka niji adjust kidogo. Angalau familia nayo niwe nayo na spend nayo time ya kutosha.
Nadhani ni katika kufidia gap iliyotokana na shock ya Corona. Ni kwamba watu wapo maofisini wanafanya kazi lakini kiuhalisia utendaji umeshuka kutokana na hii enteference ye Corona. Kwa hiyo nafasi inapokuwa wazi hasa hizi za juu, haitakiwi yapite masaa 24 ikiwa bado haijajazwa. Ulimsikia Rais alichomuagiza akafanye baada ya kuapishwa? Mojawapo ni kwamba kuna sample ya Diesel ime-test positive, ina Covid-19, na hili ni mojawapo tu kati ya mengi.Ingekuwa tunaenda msibani, hata kuteua tungekua na utu wa kusubiria kidogo...haraka ya nini hata hatujazika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi mwanzoni nilifikiria hivyo, ila kwa upande mwingine Mwakyembe alishafanya kazi kubwa muno, na umri wake unaenda inabidi apumzike, ana kiahueni kidogo kwenye wizara ya michezo, panamtosha hapo kwa sasa kuendele kupata mapumziko angalau kidogo. Hizi Wizara nzito nzito inabidi sasa vijana wa 30-50 nao wabebe mzigo, zamu yao ilishafika. Mimi ninatarajia kwenye baraza lijalo hawa ndiyo wanatakiwa wachukue asilima 99 ya nafasi zote za mawaziri. Tatizo huwa tunachukulia cheo kama ulaji, ila ukichukulia kama kazi na ni mzigo, vijana sasa ni zamu yao. Wote watakaoingia Bungeni wenye umri 30-50 ndiyo inabidi wachukue Wizara, mambo yakienda kombo wasije wakaanza kulalalmika kuwa wazee tumesababisha matatizo, hapana. Sisi tunatakiwa kuwa pembeni tunawaangalia wanafanyaje kututoa hapa tulipoIna maana hakuna alieweza kukava hiyo nafasi zaidi ya Nchemba?
Yaani bora nchemba angepewa michezo na sanaa makyembe ndio apewe sheria na katiba
ccm hawahitaji sifa.. wanatafuta taahira ndio huyo huyo wanampa nchiHana sifa za kugombea urais.