Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Peter Lijualikali anashikiliwa Katika kituo Kikuu cha polisi mkoani Morogoro Kwa kosa la Kukiuka masharti ya kibali cha mkutano na hasa kuwaalika wabunge wengine kuhudhuria Katika mkutano huo siku alipotoka tu jela.