Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Peter Lijualikali anashikiliwa Katika kituo Kikuu cha polisi mkoani Morogoro

Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Peter Lijualikali anashikiliwa Katika kituo Kikuu cha polisi mkoani Morogoro

uzuri wa bavicha ni wazuri sana kutoa povu mitandaoni,wangelita hili povu mitaani ningeamini wapo serious
 
Tangu lini tamko la Rais likawa sheria??

Nyinyi Polisi mnapaswa mfanye kazi kwa weledi, mkizingatia Katiba ya nchi, badala ya Utendaji wenu wa sasa wa kupokea "maagizo" ambapo hamuwezi tofaitishwa na UVCCM.......
 
Kuna Bunge linalosimamia serikali nchi hii? Au unaongelea hiki "kikao" cha Dodoma kinachosimamiwa na serikali?
Sikujua kama siku hizi bunge limekuwa kikao cha Dodoma kinachosimamiwa na serikal. It's a big shame
 
Ss huyu jamaaa anasubiri nini? Si ahame tu. Ni uzembe kufa na kiu baharini
 
Ishu isn't decree ishu ni wabunge wenyewe ambao hata huko bungen huwa hawalaani wala kukemea haya matamko wao.wakiwa kama watu wanaopaswa kusimamia serikal
Dah.

Umesema kitu cha msingi sana.

Ukimchekea dikteta lazima akumalize.

Hivi wapinzani wote wale wamekosa mbunge mmoja wa kujilipua bungeni kumoaka Magufuli udikteta wake?

Ule mtindo wa kuondoa shilingi siku hizi haupo?

Wapinzani wameshindwa ku support special motion ya kupinga udikteta huu?
 
Back
Top Bottom