Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Peter Lijualikali anashikiliwa Katika kituo Kikuu cha polisi mkoani Morogoro

Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Peter Lijualikali anashikiliwa Katika kituo Kikuu cha polisi mkoani Morogoro

Wanachokitafuta CCM watakuja kukipata, tena kwa kiasi wasichotegemea. Hivi hawasomi history? Wapi duniani utawala wa mabavu ulidumu milele? Siku moto ukiwaka hapa, watakimbia nchi
 
Hawa wabunge sasa wacha tu wapate taaabu! Maana wao ndio wanaotunga sheria na ndio wanaosimamia, wanakwenda bungeni badala ya kuongelea mambo kama haya ya matamko tu ambayo sio sheria, wao wanakazania malumbano ya uvyama tu. “Watapata taaaaabu sana”
 
20231109_133053.jpg
 
Hawa wakiwa upinzani wanajifanya wazalendo wakipata nafasi nao wanakuwa ndio wale wale.

Nchi hii waanzilishi kuna sehemu wamekosea kila mtu anaingia kwenye siasa ili apate kupiga hela.

Na hiyo ndiyo maana ya siasa, vinginevyo nani ana shida nayo! Hata wewe ukiweka namba yako ya simu hapa tutakupa ukuu ili tuone kama una ubavu wa kuukataa wakati upo na njaa kali!!!!
 
Unafikiri ni kwa nini inakuwa hivyo. Hata wewe leo hii tukikupa uDC utafanya tu yale yale. Kwa nini? 🤔
Ndio maana nikasema kama taifa waanzilishi kuna sehemu walikosea, kuiba imekuwa fashion, kila mtu mwizi wajuu wezi na hawawajibishwi unadhani wa chini yake atafanya nini mzee, we ukisikia waziri kapiga bilioni kadhaa, we DC utaacha kupiga hivi vimilioni 100+?

Uwajibishwaji ni mdogo, ngazi za juu inabidi ianze kuonesha mfano.
Watu wanaiba, mama mwenye nchi anakwambia wanakula kwa urefu wa kamba zao, ni upumbavu kiasi gani huu.
 
Back
Top Bottom