gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
Ule mtindo wa kuondoa shilingi uliondoka na samwel sitta.Dah.
Umesema kitu cha msingi sana.
Ukimchekea dikteta lazima akumalize.
Hivi wapinzani wote wale wamekosa mbunge mmoja wa kujilipua bungeni kumoaka Magufuli udikteta wake?
Ule mtindo wa kuondoa shilingi siku hizi haupo?
Wapinzani wameshindwa ku support special motion ya kupinga udikteta huu?
Kwasasa hivi tuna bunge la woga, wabunge waoga, rais naye ni socially insecure. Hivyo tupo tuu na wananchi ndio kuzidi kwa woga.
Tumezidi kurudi nyuma kifikra, kihekima, na hata kihoja. Tumebaki kuwa wapiga stori za vijiwen