Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Peter Lijualikali anashikiliwa Katika kituo Kikuu cha polisi mkoani Morogoro

Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Peter Lijualikali anashikiliwa Katika kituo Kikuu cha polisi mkoani Morogoro

Watakuwa wanatupangia mpaka na wachumba,wakimaliza watatupangia mikoa ya kwenda,wakimaliza hapo watatupangia na wazazi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunalipongeza Jeshi la Polisi kwa kunasa Wahuni
 
Kuwaalika Wabunge wengine kwenye mkutano inawezaje kuwa kosa? Hizi decree za kipuuzi hazina nafasi katika dunia ya leo.
Waziri wa Elimu, Prof Joyce Ndalichako amewataka vijana kuacha tabia ya kuikosoa na kuishambulia Serikali badala yake walipende Taifa ili kuleta maendeleo, kwani sasa Taifa linapitia wakati mgumu unaosababishwa na ukosefu wa maadili na uzalendo kwa vijana.


#KwanzaHabari
 
Hivi kualika wabunge kutoka msjibo mengine kwenye mkutano wa siasa imewahi kuwa kosa kisheria? Kama polisi watamfikisha mahakamani Lijualikali na mahakama ikawa fair, kuna hatari wakubwa wa nchi wakaaibika.

Vv
 
Vipi wakina nape na bashe kule jimbo la Buyungu ,
 
Tunakoeleka upinzani utatambulika kama uhalifu.Hii ni kinyume na haki za Binadamu na Demokrasia.Tuukatae,ccm haijitambui kabisa
 
Ukiona ukiona kiongozi yeyote anaye tumia mabavu kuongoza jua kabisa kuwa hana uwezo kwenye nafasi hiyo.
 
HUu ni uonevu mkubwa. tulia Ackson muda wote. YUko mbeya. anafabya. Mikutano ilihali. So. Jimbo. Lake.
 
Back
Top Bottom