Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Ishu isn't decree ishu ni wabunge wenyewe ambao hata huko bungen huwa hawalaani wala kukemea haya matamko wao.wakiwa kama watu wanaopaswa kusimamia serikalKuwaalika Wabunge wengine kwenye mkutano inawezaje kuwa kosa? Hizi decree za kipuuzi hazina nafasi katika dunia ya leo.
Kuna Bunge linalosimamia serikali nchi hii? Au unaongelea hiki "kikao" cha Dodoma kinachosimamiwa na serikali?Ishu isn't decree ishu ni wabunge wenyewe ambao hata huko bungen huwa hawalaani wala kukemea haya matamko wao.wakiwa kama watu wanaopaswa kusimamia serikal
Mtu anahofiwa tu kwamba labda atatema nondo nzito zitakazoifitinisha Serikali ya CCM na Wananchi (the so called uchochezi). Hukumu kabla ya tukio.Hivi kumbe hata kualikana wabunge ni uvunjaji wa Sheria?
Inahusu wabunge wa upinzani tu ndiyo maana Waitara yuko Kigoma anapiga mzigo kama kawaida kupitia wenyenchi.Hivi kumbe hata kualikana wabunge ni uvunjaji wa Sheria?
Kama si kosa nenda kamuulize lijuakali ana hali gani uko selo..Kuwaalika Wabunge wengine kwenye mkutano inawezaje kuwa kosa? Hizi decree za kipuuzi hazina nafasi katika dunia ya leo.
Tunazidi kuufahamu ujinga wakoKama si kosa nenda kamuulize lijuakali ana hali gani uko selo..
Umeandika ukweli utupu!Ni heri kufa maji baharini ukikimbilia ughaibuni kuliko kupambana kuishi nyumbani.
Uonevu ni kawaida ya mtu asie na akili ya kutosha na akapewa madaraka.Kama si kosa nenda kamuulize lijuakali ana hali gani uko selo..
Huo ndio ukweli hasa!Mtu anahofiwa tu kwamba labda atatema nondo nzito zitakazoifitinisha Serikali ya CCM na Wananchi (the so called uchochezi). Hukumu kabla ya tukio.
Wewe ni mjinga sana,ni vyema uwe unakaa kimya pindi wanaume wanapojadili mambo ya msingi!Kama si kosa nenda kamuulize lijuakali ana hali gani uko selo..