TANZIA Mbunge wa Jimbo la Konde Zanzibar, Khatib Haji afariki Dunia

Tangu jana hadi leo kichwa kinauma tu...
 
Mbunge wa Jimbo la Konde Ndugu, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, amefariki Dunia.

Umauti umemfika katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili akipatiwa matibabu Alfajiri ya leo.
View attachment 1791408
Kuna Mtu alivyo Mnafiki ( Ndumilakuwili ) na sasa hana tena Ubunge aliouzoea kwa muda mrefu nina uhakika safari hii atagombea hilo Jimbo kwa Tiketi ya Chama chake anachokimiliki Mwenyewe japo Makazi yake ya Kutukuka ni Mkoani Kigoma kwa Watani zangu Waha.
 
Hili bunge la awamu hii mbona wazee wanadondoka sana!!
 
Innaa lillah wainnaa ilayh Raj uun.
Sisi ni wa mwenyeziMungu na hakika ya kwake tutarejea.

Tuishi kwa kupendana na kuheshimiana.

Ili siku moja mimi au wewe tukiondoka kwenye uso huu wa dunia tuwe na mazuri mengi ya kuungumziwa, kuliko maovu ingawa hakuna mkamilifu.
 
Innaa lillah wainnaa ilayh Raj uun.
 
Innaa lillah wainnaa ilayh Raj uun.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…