TANZIA Mbunge wa Jimbo la Konde Zanzibar, Khatib Haji afariki Dunia

Siyo Yule aliyeuliza maswala ya mitume na wafufua wafu??

Poleni wafiwa, duniani tunapita
 
Kama cha India kinachagua
Basi akina madhara.
Si unaona wenyewe wanavyodondoka.
Yaani hakisubiri upimwe.
Ndo watu wajue unacho.
Ngoja waanze tena kututangazia takwimu lakini kwa sasa tuko gizani
 
Hii mada ni ya tanzia naona sasa tunaigeuza kuwa ya kisiasa ,tunapochangia ni vema tulajielewa nasi ni wapitaji hapa duniani na vema tukaifariji familia ya mfiwa,yes nami ninaungana nanyi Zito na lipumba ni wasaliti ila ingekuwa vema wawe na mada yao tofauti na hii ya tanzia,Asalaam
 
Kwani ACT wasaliti waliambulia jimbo lolote kule Zenj baada ya ile dhuluma iliyohusika ikiwemo mauaji?
Mwanzo jumbo hilo alishinda nan 2020
 
Isiwe tu wave 3, mbona itakuwa balaa!!
 
RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…