Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Siasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile
Unaona baadhi ya wabunge wasivyojitambua!
 
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Mkoa wa Arusha zinasema Mbunge wa Jimbo la Monduli Juliasi Kalanga kuhamia CCM kesho majira ya saa nne asubuhi.

======

UPDATES; 00:15HRS
View attachment 823188
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Mhe. Julius Kalanga amejiuzulu na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM muda huu kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi rais Magufuli. Amepokelewa na katibu mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole.

Siasa za uhasama, malumbano na chuki zimeniondoa CHADEMA. Nimeamua kuiunga mkono serikali ya awamu ya tano kwa maslahi ya taifa... Kwa sababu huwezi kufanya hivyo ukiwa upande wa pili, lazima utaonekana msaliti tu... Wana Monduli naombeni mnielewe, nitakuja kuzungunza nanyi," Julius Kalanga Laizer, aliyekuwa Mbunge wa Monduli kwa tiketi ya CHADEMA.

Julius Kalanga aliwahi kuwa diwani kupitia CCM, kabla ya kuhamia Chadema 2015
CHADEMA: Ole wenu mkiipokea Mizoga ya CCM!
 
Kama hawa bora wandetu maana hata bungeni sikuwai kumsikia
Siku wakihama hawa
(1) mboe
(2)Lisu
(3) heche
(4) msigwa
(5)Sugu
(6)selasini
(7)Lema
(8) mdee
(9)Silinde
(10)Nasari
Kati yahawa akihama mmoja wao hata mm nitahama .
Lema ameshaomba...jiamini ww mwenyewe..acha kuamini watu..na unashangaza kweli..hadi nasari unamuamini?
 
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Mkoa wa Arusha zinasema Mbunge wa Jimbo la Monduli Juliasi Kalanga kuhamia CCM kesho majira ya saa nne asubuhi.

======

UPDATES; 00:15HRS
View attachment 823188
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Mhe. Julius Kalanga amejiuzulu na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM muda huu kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi rais Magufuli. Amepokelewa na katibu mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole.

Siasa za uhasama, malumbano na chuki zimeniondoa CHADEMA. Nimeamua kuiunga mkono serikali ya awamu ya tano kwa maslahi ya taifa... Kwa sababu huwezi kufanya hivyo ukiwa upande wa pili, lazima utaonekana msaliti tu... Wana Monduli naombeni mnielewe, nitakuja kuzungunza nanyi," Julius Kalanga Laizer, aliyekuwa Mbunge wa Monduli kwa tiketi ya CHADEMA.

Julius Kalanga aliwahi kuwa diwani kupitia CCM, kabla ya kuhamia Chadema 2015
Wengi naona wana vinasaba vya CCM
 
Mmaasai ana msimamo mwarusha usimwamini hata kidogo ni mnafiki balaa nimekaa nao sana.
Waongo na wambea wamasai! Hujaona wanavyoiba na kushirikiana na majambazi. Umesahau hata wasomali walio kuwa wanasumbua ngorongoro walikuwa wanafichwa na wamasai? Umesahau hata mitaani wauzaji wa dawa!
 
Siasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile

Umetisha mkuu! Nimeipenda hii. Kwa bahati mbaya tuna wabunge mbumbumbu mno, sidhani kama hao wanaohama wamewahi kufikiri kama ulivyofikiri wewe namna hii!!!
 
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Mkoa wa Arusha zinasema Mbunge wa Jimbo la Monduli Juliasi Kalanga kuhamia CCM kesho majira ya saa nne asubuhi.

======

UPDATES; 00:15HRS
View attachment 823188
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Mhe. Julius Kalanga amejiuzulu na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM muda huu kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi rais Magufuli. Amepokelewa na katibu mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole.

Siasa za uhasama, malumbano na chuki zimeniondoa CHADEMA. Nimeamua kuiunga mkono serikali ya awamu ya tano kwa maslahi ya taifa... Kwa sababu huwezi kufanya hivyo ukiwa upande wa pili, lazima utaonekana msaliti tu... Wana Monduli naombeni mnielewe, nitakuja kuzungunza nanyi," Julius Kalanga Laizer, aliyekuwa Mbunge wa Monduli kwa tiketi ya CHADEMA.

Julius Kalanga aliwahi kuwa diwani kupitia CCM, kabla ya kuhamia Chadema 2015

Ifike mahali hawa wabunge wawaheshimu wananchi waliowapa dhamana! Huku ni kutudharauna kuona hatuna la kuwafanya na hawaoni uchungu wa kodi zetu kurudia uchaguzi. Ushauri wangu, ni vema wananchi tuliowapa dhamana hawa wasaliti tukaamua kuwashughulikia na hata kuwafanya vilema! Tukiwafanya wawili au watatu na wakajua ni kwa nini wamefanyiwa huu upumbavu utakwisha, otherwise watatuchezea sana. Wapumbavu wakubwa.
 
Umetisha mkuu! Nimeipenda hii. Kwa bahati mbaya tuna wabunge mbumbumbu mno, sidhani kama hao wanaohama wamewahi kufikiri kama ulivyofikiri wewe namna hii!!!
Mkuu kuna la zaidi ambalo hatulioni kwa macho ya kawaida na wao hawataki kutuambia ukweli mkuu. Kwa kuwa hawana sababu za msingi ndio wanaishia kutoa kauli ambazo zinajicontradict.Ukweli wanaujua mkuu ila iko siku tutaambiwa.Utawala huu mambo yao ni makubwa.
 
Poleni watanzania,Poleni watumishi fedha zinatumika ktk kuwanunua hawa matapeli wa kisiasa badala ya kujali maslahi yenu.Fanyeni hujuma ktk kila kitu na kila idara dhidi ya serikali hii.
 
Back
Top Bottom