Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hiyo ndio itakuwa pigilia msumari kabisa kwa uhai wa kisiasa wa Mzee Lowassa. Yaani amekufa kisiasa; maanake hakuna lolote analoonekana kulifanya aonekane bado yungali hai kisiasa. Hakuna lolote alilofanya kuleta ushawishi ndani ya chama au kwake binafsi aonekane yungali hai. Pole yake.
Ni wenye akili tu ndo wanaliona hilo,uko njema kijana.Siasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile
Asante kwa hoja mkuu,Mkuu uko sahihi kabisa, sasa ngoja msumeno ukate na upande wa pili, hivi walijisikiaje viongozi wa cdm waliokipigania chama kwa madhila yote kisha dakika za mwisho Mbowe akawapokea kundi la Lowasa na kuwapa nafasi za kugombea, huku akiwaacha waliokitumikia chama kwa uaminifu? Ni kweli chini ya Magufuli tunashuhudia siasa chafu za ushindani hapa nchini? Lakini kosa hili la Mbowe hatulioni?
Mimi ni non-partisan mkuu. I'm a free thinker.Hawa wanaohama walikuwa ccm wakahamia chadema na wakapewa nafasi ya kugombea ubunge na wengine udiwani. Labda na wewe utuambie mlijiskiaje?
Ukichunguza vizuri zaidi kauli ya huyo jamaa utagundua kuwa anamsema jpm metaphorically.Kwa hiyo rubani akiwa angani habadilishi gia ? Mbona mnakuwa hopeless kiasi hiki ?
msimamo ni pamoja na kukataa ubabaishaji ulio CHADEMAKweli hii ni Karne ya 21 miongoni mwa makabila yenye watu walio na misimamo isiyo yumba ni wamasai na wakulyaa lakini kinacho tokea kina waondolea heshima yao ya miaka mingi
Ulijisikiaje Lowasa alivyohamia Chadema na kumilikishwa chama na Mbowe huku majembe waliopigania chama akina.DR.Slaa wakitupwa nje ya chama kama takataka?.... Ulivyojisikia wewe, ndio hivyo hivyo wana CCM wanavyojisikia sasa hiviUnajisikiaje kuona mpinzani anahamia ccm na kupewa uongozi huku wewe kada mtiifu ukiachwa? Huoni kama kuna tatizo mahali?
mbona walivohamia kwenu haya yotee hamkuyasema!??kumbuka huyuu alitoka CCM akaja kwenu na alitoa sababu kama hizi hizi sijui demokrasia hakuna,lakini mkampokea na cheo mkampa leo kahama kutoka kwenye kurudi huku kwa sababu zilezile mnasema hazina mashiko kwelii!?Tatizo sababu wanazozitoa kwa kuhama kwao huwa hazina mashiko yoyote yale na badala yake zinawavua nguo na kuonesha ni kwa vipi hawawezi kutumia baraka waliyopewa na Mwenyezi Mungu za kuwa binadamu badala ya Ng'ombe!!
Leo nakuita tena Dr Kichaa maana unaandika bila kufikiri kilichopo.2020 chadema kitarudia status quo yao ya kuwa na wabunge wanne tu. Wameitumia vibaya fursa waliyokuwa wameipata. Yaani ruzuku kazi yake ni kulipia tu deni hewa la m/kiti wao. Yaani wabunge wao lazima 50% ya mishahara yao ipelekwe kwenye chama kulipia hilo deni hewa la m/kiti lisiloisha!! It is now over! Wamasai na wakurya wamekataa. Wambeya (wahehe) wamekataa. Kila mtu amekataa.
Hakuna kuongeza mishahara, fedha hizo zinatumika uchaguzi Wa marudioHakuna wa kupinga. Ombi kuu ni kutuongezea mishahara watumishi wa Serikali tu. Tuwaombe wah watusaidie. Taf sana.
ambao wote nao wamewatosa wamekimbia niambie kwahivi sasa huko CHADEMA ni type ya Dr.Slaa na Zitto,ukimwondoa Tundu Lissu....swala sio majembe tatizo ni majembe yenye uwezo,leo uwezo wa Mnyika huwezi kuufananisha na kipindi kile katibu alivokua Dr.Slaa,nani nitaje mwenye uwezo kama wa hao uliowataja, John Heche,Mbowe!??nani aliyebaki huko!??Wakolomije watambue CDM ilikuwa na Wabunge Wanne tu kina Zitto na Slaa etc enzi hizo na ikavuma,kwa sasa wapo wengi,wameondoka hao wa3 bado wapo Majembe ya kutosha yasiyoyumba,ni kipindi cha mpito tu hiki,wachumia tumbo wanajichuja wenyewe vipande 250m vya fedha unauza utu.