Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Chadema wanatakiwa kufanya marekebisho sio kudanganya watu kua kila anaehama kanunuliwa
 
Trilioni 1.5 kazini,
Lakini ni afadhali ingejenga kiwanda tungenufaika wote kuliko huu ununuzi wa wanasiasa.
 
Yaani hiyo ndio itakuwa pigilia msumari kabisa kwa uhai wa kisiasa wa Mzee Lowassa. Yaani amekufa kisiasa; maanake hakuna lolote analoonekana kulifanya aonekane bado yungali hai kisiasa. Hakuna lolote alilofanya kuleta ushawishi ndani ya chama au kwake binafsi aonekane yungali hai. Pole yake.

Usishangae ukiambiwa kuwa aliyemshawishi huyo mbunge kuhama ni yeye Mzee Lowassa kwani hali yake kisiasafamilia sio nzuri yu hoi bin taabani
 
Siasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile
Ni wenye akili tu ndo wanaliona hilo,uko njema kijana.
 
Mkuu uko sahihi kabisa, sasa ngoja msumeno ukate na upande wa pili, hivi walijisikiaje viongozi wa cdm waliokipigania chama kwa madhila yote kisha dakika za mwisho Mbowe akawapokea kundi la Lowasa na kuwapa nafasi za kugombea, huku akiwaacha waliokitumikia chama kwa uaminifu? Ni kweli chini ya Magufuli tunashuhudia siasa chafu za ushindani hapa nchini? Lakini kosa hili la Mbowe hatulioni?
Asante kwa hoja mkuu,

Kati ya "political blunder" kubwa sana aliyofanya mbowe ni hiko kitendo cha kumpokea lowassa ambaye, badala ya kugeuka "asset" amekuwa "mzigo"

Kwa maoni yangu, hakuna mwanacdm "patriot" aliyefurahia hiko kitendo na nafikiri ni sahihi kusema kwamba lowassa & co. ndio waliohusika "kupoteza political gains" zote za UKAWA zilizopatikana towards 2015 election.

Mtu kama dr. Slaa alikuwa ni asset kubwa sana kwa ukawa, ila tamaa za wachache zikaiponza cdm na ukawa kwa ujumla.
 
Upinzan kwisha habar yake.
Wakianza kuandaa ktk jimbo hilo na huyu huku kwetu anampsngo wakuhamia ccm hivyo gharama za kupiga kampen zitakuwa sehem nyingi nchini.
Hahahaaaa
Saiasa bhana
 
mbunge wa monduli kwa Lowasa .Mbunge wa Lowasa huy kasepa
 
Kweli hii ni Karne ya 21 miongoni mwa makabila yenye watu walio na misimamo isiyo yumba ni wamasai na wakulyaa lakini kinacho tokea kina waondolea heshima yao ya miaka mingi
msimamo ni pamoja na kukataa ubabaishaji ulio CHADEMA
 
Unajisikiaje kuona mpinzani anahamia ccm na kupewa uongozi huku wewe kada mtiifu ukiachwa? Huoni kama kuna tatizo mahali?
Ulijisikiaje Lowasa alivyohamia Chadema na kumilikishwa chama na Mbowe huku majembe waliopigania chama akina.DR.Slaa wakitupwa nje ya chama kama takataka?.... Ulivyojisikia wewe, ndio hivyo hivyo wana CCM wanavyojisikia sasa hivi
 
Tatizo sababu wanazozitoa kwa kuhama kwao huwa hazina mashiko yoyote yale na badala yake zinawavua nguo na kuonesha ni kwa vipi hawawezi kutumia baraka waliyopewa na Mwenyezi Mungu za kuwa binadamu badala ya Ng'ombe!!
mbona walivohamia kwenu haya yotee hamkuyasema!??kumbuka huyuu alitoka CCM akaja kwenu na alitoa sababu kama hizi hizi sijui demokrasia hakuna,lakini mkampokea na cheo mkampa leo kahama kutoka kwenye kurudi huku kwa sababu zilezile mnasema hazina mashiko kwelii!?
 
2020 chadema kitarudia status quo yao ya kuwa na wabunge wanne tu. Wameitumia vibaya fursa waliyokuwa wameipata. Yaani ruzuku kazi yake ni kulipia tu deni hewa la m/kiti wao. Yaani wabunge wao lazima 50% ya mishahara yao ipelekwe kwenye chama kulipia hilo deni hewa la m/kiti lisiloisha!! It is now over! Wamasai na wakurya wamekataa. Wambeya (wahehe) wamekataa. Kila mtu amekataa.
Leo nakuita tena Dr Kichaa maana unaandika bila kufikiri kilichopo.
Hujiulizi kwa kazi ya Ubunge unashindwa nini kuonyesha kile ukipingacho hadharani na unachokubali?
Au unamsubiri Polepole ndio utangaze unamuunga mkono?
 
Hii ni aina mpya ya disorder! wanajiona wako sawa ila watakuja kujua miaka ijayo kwa umalaya huu wa kujiuza wanaoufanya!!
 
Hakuna wa kupinga. Ombi kuu ni kutuongezea mishahara watumishi wa Serikali tu. Tuwaombe wah watusaidie. Taf sana.
Hakuna kuongeza mishahara, fedha hizo zinatumika uchaguzi Wa marudio
 
Wakolomije watambue CDM ilikuwa na Wabunge Wanne tu kina Zitto na Slaa etc enzi hizo na ikavuma,kwa sasa wapo wengi,wameondoka hao wa3 bado wapo Majembe ya kutosha yasiyoyumba,ni kipindi cha mpito tu hiki,wachumia tumbo wanajichuja wenyewe vipande 250m vya fedha unauza utu.
ambao wote nao wamewatosa wamekimbia niambie kwahivi sasa huko CHADEMA ni type ya Dr.Slaa na Zitto,ukimwondoa Tundu Lissu....swala sio majembe tatizo ni majembe yenye uwezo,leo uwezo wa Mnyika huwezi kuufananisha na kipindi kile katibu alivokua Dr.Slaa,nani nitaje mwenye uwezo kama wa hao uliowataja, John Heche,Mbowe!??nani aliyebaki huko!??
 
Back
Top Bottom