Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

s siasa zina wenyewe bhana
 
shida ipo mkuu, tunaingia gharama ambazo hatukuzipanga
Kitendo cha kukubali demokrasia kilitosha kabisa kuhalalisha gharama hizi. Tusilalamike, hizi ndizo gharama za kuwa na demokrasia ya watu kuwa na uhuru kuamua, kusema, na kutenda kila wanachoona kinawafaa iwe wao wenyewe ama taifa kwa ujumla.
 
tumechoka hela hakuna alaf watu wanatumia hovyo
Basi jinyonge. Mwenyekiti anaendesha chama kama ngo yake binafsi mkitegemea nini? Na bado, bila mabadiliko makubwa ndani ya chadema itakufa. Nyie endeleeni kujipa moyo tu kwamba wamenunuliwa.
 
Hana
Jipya kachanganyikiwa Hug
 
Amehaidiwa kugombea na kushinda kwa gharama yoyote ile! Hii ndiyo demokrasia ya awamu ya tano. Tutashuhudia mengi awamu hii.
 
Wakati mwingine siasa n mfano Wa biashara kwamba lazima kuwepo na competitors ambapo ndani ya hao competitors lazima kuwemo na lawama, chuki,malumbano nk hivyo unaposema unahama chama sababu ya malumbano au chuki au lawama basi wewe huwezi kuwa mshindani,,, tiyari ushaonesha weakness yako huwezi kupambana na changamoto zitakazo kuface wew kama kiongonend
 
Unga mkono baba tena kaunge hata na mguu kwakua nasari na lema walushatuonesha kinachoendelea nenda BB tulkupenda ila mungu akupende zaid
 
Hizi pesa za kununulia wabunge ni bora wakaboreshe huduma kwa mama na mtoto mahospitalini
 
Hawa wabunge inabidi tuanze kuwashataki sasa, kununuliwa ni kosa la jinai, uchunguzi ufanyike!
 
Basi jinyonge. Mwenyekiti anaendesha chama kama ngo yake binafsi mkitegemea nini? Na bado, bila mabadiliko makubwa ndani ya chadema itakufa. Nyie endeleeni kujipa moyo tu kwamba wamenunuliwa.
Nyani haoni kundule magufuli yeye anaendesha ccm kama cbo hakuna anayekohoa na askari juu kawageuza wana ccm kwa doto zake mbovu anadhani anaua upinzani kumbe anajiua
 
Nyani haoni kundule magufuli yeye anaendesha ccm kama cbo hakuna anayekohoa na askari juu kawageuza wana ccm kwa doto zake mbovu anadhani anaua upinzani kumbe anajiua
Kwa kuwa magufuli anaendesha chama chake hivyo basi ni sawa tu hata mbowe akiiendesha chadema hivyo? Kama ni hivyo kuna sababu gani sasa ya kuiondoa ccm na kuiweka chadema kama hazina tofauti yoyote?
 
Yap ndugu upo sawa make hapa sisi ndo kodi zetu zinaumia kwani ameshindwa nini kuvumilia uchaguzi mkuu ujao ili kuokoa gharama
Nadhani tume ya uchaguzi ianze kutumia busara na kuokoa fedha hizi za uchaguzi au aidha jimbo likae wazi mpk hiyo miaka
Poa tu ila ningetamani usiwepo uchaguzi marudio badala yake huyo huyo alipe gharama za kuuchafua uchaguzi uliopita kwani alitunyima kumchagua tuliyempenda wa ccm
Yap ndugu upo sawa make hapa sisi ndo kodi zetu zinaumia kwani ameshindwa nini kuvumilia uchaguzi mkuu ujao ili kuokoa gharama
Nadhani tume ya uchaguzi ianze kutumia busara na kuokoa fedha hizi za uchaguzi au aidha jimbo likae wazi mpk hiyo miakaYap ndugu upo sawa make hapa sisi ndo kodi zetu zinaumia kwani ameshindwa nini kuvumilia uchaguzi mkuu ujao ili kuokoa gharama
Nadhani tume ya uchaguzi ianze kutumia busara na kuokoa fedha hizi za uchaguzi au aidha jimbo likae wazi mpk hiyo miaka 2 ijayo
Au km yeye agharamie hizo gharama
 
Kuna siku haya yote yatakuwa ni ubatili tu.
 
Kwa kuwa magufuli anaendesha chama chake hivyo basi ni sawa tu hata mbowe akiiendesha chadema hivyo? Kama ni hivyo kuna sababu gani sasa ya kuiondoa ccm na kuiweka chadema kama hazina tofauti yoyote?
Hivi ccm ni chama ama kikundi cha wahuni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…