Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilishavuja tokea jana jioniKwa nini iwe usiku na haraka hivyo?
Mie nilisubilia kesho kumbe zege halilali
CHADEMA mjifunze kupokea mizigo isiyo bebeka
Kila anayondoka anatoka na sababu zakeHuko nape kila siku anaisema serekali na bado haitwi msaliti kikubwa chadema wanatakiwa watafute chanzo cha tatizo
Mbona Jacob kapoa sana siku hizi? Au naye anajiandaa kuzifuata “takataka” huko zilikoenda?Waende tu bwana kwani shida iko wapi? Hata Mbowe mwenyewe akitaka kuhamia huko aende tu, wala mimi asiniage kabisaaa,, tutabaki tunaojitambua! Mimi atakayeniliza akihamia CCM ni Lissu tu zingine hizi ni takataka tu (Kwa sauti ya Jacob)
Unajisikiaje kuona mpinzani anahamia ccm na kupewa uongozi huku wewe kada mtiifu ukiachwa? Huoni kama kuna tatizo mahali?Hapa duniani hakuna binadamu ambaye si mchumia tumbo. Hata mimi na wewe sote ni wachumia tumbo. Ila binadamu wengine wamezidi mno!. Yaani ruzuku yote ya chama kila mwezi inaenda kwenye tumbo moja kulipia madeni hewa yasiyoisha. It is just too much 'uchumia tumbo'!
Huyu jamaa nilimwona ana msimamo sana. Anyway hata Yuda Iskariote alikuwa mtu mwenye msimamo sana!
Nadhani hii ni mbinu mpya ya kumrudisha Mamvi bungeni..
Ila anaweza iunga mkono CCM ambayo kwa miaka 50 imeshindwa kututoa kwenye umaskini ilihali tuna rasilimali zote.....Mtu mwenyeuwezo mzuri wa kufikiri,hawezi kuinga mkono chadema hii
..sikiliza Mh.Kalanga alivyokuwa akimtukana Dr.Mollel kwa kuhama chama.