Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako tayari mishahara isipande,wako tayari tukose madawa hospitalini,wako tayari wananchi wafe njaa ila wabunge wanunuliweHizi ni siasa chafu. Tusipokuwa na mikakati kiukweli hawa jamaa watatutia hasara kama nchi.
Huko nape kila siku anaisema serekali na bado haitwi msaliti kikubwa chadema wanatakiwa watafute chanzo cha tatizoSiasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile
Zikiisha tutapiga nyingine tena ili tununue wengi zaidi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Msishangae 1.5 trileeee sio pesa kidogo.
Polepole haelewi ilo.Hii hama hama kwa kweli inaturudisha nyuma sana kimaendeleo maana pesa nyingi zinapotea kwenye marudio ya uchaguzi.
Wakati umefika sasa wananchi watambue hawa wanasiasa kipaumbele chao ni 'uchaguzi ujao' sio maendeleo kwa taifa.
Tutatumia tena kodi za wavuja jasho kumrudisha huyo aliyejiuzulu bungeni,wakati huo 2020 sio mbali.
Wananchi wa ufipa?Wananchi tuchukue hatua!
Hatua gani..!?Wananchi tuchukue hatua!